Kwanini Chadema huwa hawawezi kuuchambua Uchumi wa Tanzania Kwa Takwimu na badala yake wamejikita Kwenye Tume Huru ya uchaguzi tu?

Hii mifano aliweza sana kuitumia Dr Slaa kipindi chake cha Kampeni, na ilileta matokeo flani chanya.
 
Huna akili, kwahiyo serikali ikikopa kwa hao wazungu ni halali ila siku ukisikia chadema inafadhiliwa na wazungu inageuka haramu? Embicile
What I'm trying to tell you my brother is that tupo katika situation ambayo we are dealing with sura mbili za sarafu ile ile moja
Hivi kweli the so called liberation ya watanzania kutoka kwa "watawala" must involve money from the same capitalists funding "watawala"
Hivi ndugu zangu hamuoni huu mchezo? Mmewahi jiuliza maeneo yote ambayo upinzani umechukua nchi barani hapa what has fundamentally changed?
Tuna matatizo mawili watanzania na waafrika kiujumla:
1. We are fighting the wrong enemies (pawns)
2. We have wrong solutions (controlled opposition)
 

Attachments

  • controlled-opposition-2621787984.jpeg
    115.7 KB · Views: 2
  • 3nfilq-121651483.jpg
    81.5 KB · Views: 2
  • controlled_opposition_by_novuso-d9o7308-3355280907.jpg
    152.4 KB · Views: 2
Hapo wanapochambua ndipo palipogonjeka,na ndio uliotamalaki
ugonjwa wa taifa hili taifa giza a.k.a tanza giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…