Kwanini Chadema huwa hawawezi kuuchambua Uchumi wa Tanzania Kwa Takwimu na badala yake wamejikita Kwenye Tume Huru ya uchaguzi tu?

Kwanini Chadema huwa hawawezi kuuchambua Uchumi wa Tanzania Kwa Takwimu na badala yake wamejikita Kwenye Tume Huru ya uchaguzi tu?

Hizo takwimu watasikiliza na kuelewa wachache.
Ukitaka mtanzania asikuelewa tumia namba katika kueleza mambo.
Ningekuwa mwanasiasa nataka kuwaeleza jambo watanzania mfano upigaji labda wa bilioni 8.
Ningetumua mifano inayoendana na nlipo. Kama wana shida ya maji ningesema wamepiga bilioni nane fedha ambayo ingeweza kujenga visima vya maji 100 mkaondokana na tatizo la maji.
Kama shuda ni barabara ningesema fedha ambayo ingeweza kujenga barabra ya lami toka kijiji fulani hadi fulani.
Kwanza takwimu ni watanzania wachache ambao huwa wanaziverify ndiyo maana january makamba aliwahi soma report yenye kutofautina na takwimu halisi.
Hii mifano aliweza sana kuitumia Dr Slaa kipindi chake cha Kampeni, na ilileta matokeo flani chanya.
 
Huna akili, kwahiyo serikali ikikopa kwa hao wazungu ni halali ila siku ukisikia chadema inafadhiliwa na wazungu inageuka haramu? Embicile
What I'm trying to tell you my brother is that tupo katika situation ambayo we are dealing with sura mbili za sarafu ile ile moja
Hivi kweli the so called liberation ya watanzania kutoka kwa "watawala" must involve money from the same capitalists funding "watawala"
Hivi ndugu zangu hamuoni huu mchezo? Mmewahi jiuliza maeneo yote ambayo upinzani umechukua nchi barani hapa what has fundamentally changed?
Tuna matatizo mawili watanzania na waafrika kiujumla:
1. We are fighting the wrong enemies (pawns)
2. We have wrong solutions (controlled opposition)
 

Attachments

  • controlled-opposition-2621787984.jpeg
    controlled-opposition-2621787984.jpeg
    115.7 KB · Views: 2
  • 3nfilq-121651483.jpg
    3nfilq-121651483.jpg
    81.5 KB · Views: 2
  • controlled_opposition_by_novuso-d9o7308-3355280907.jpg
    controlled_opposition_by_novuso-d9o7308-3355280907.jpg
    152.4 KB · Views: 2
Naelewa Chadema haina Watu waliobobea kwenye Uchumi lakini Mazingira ya Dunia ya Leo yameruhusu kila Mtu kuuelewa Uchumi locally, continentally and Globally

Ndio sababu Waziri wa Uchumi siyo mchumi hata mkuu wa Ubinafsishaji David Kafulila siyo mchumi lakini wanatimiza majukumu yao vizuri tu

Sasa kwanini Chadema hampendi kuchambua Uchumi hata kwa kumtumia yule Mhasibu CPA Ruge?

Mnaogopa nini?

Nimekaa pale 🐼
Hapo wanapochambua ndipo palipogonjeka,na ndio uliotamalaki
ugonjwa wa taifa hili taifa giza a.k.a tanza giza.
 
Back
Top Bottom