Kwanini CHADEMA mmetunga na mnasambaza uzushi wa ukabila wa Hayati Magufuli?

Mnamkosea sana mwendazake! Kutwa kucha mnalia lia, au mnapinga ile sala inayosema raha ya milele umpe ee Bwana?! Mnamsumbua, mwacheni apumzike!
Huyu hatakiwi kupumzika kama ingekuwa inawezekana tungekuwa tunapiga ngoma kwenye kaburi lake ili mradi asitulie huko chini.
 
Huyu hatakiwi kupumzika kama ingekuwa inawezekana tungekuwa tunapiga ngoma kwenye kaburi lake ili mradi asitulie huko chini.
Najua sana, nimemziaki huyu anayemwabudu tu! Wengine tunaruhusiwa kupiga ngoma!
 
Ni vema na wewe unae kanusha utuambie nafasi za kuteuliwa wasukuma wapo wangapi ili wasisingiziwe, kwa hiyo wewe huna tofauti na anaye walalamikia nyie sukuma gang
Nafasi za wachaga chadema unaziona au hizo huzionagi
 
Nilivyoangalia jina GAMBINO nikakumbuka GWAMBINA!!
Watu wakikushambulia itakuwa wanakuonea Mkuu...
 
Yani akabomolea watu wa kimara bila fidia Ila alipofika mwanza kwenye ubomoaji kupisha ujenzi/upanuzi wa barabara ya furahisha pamoja na upanuzi wa airport akasema msiwasumbue hao no wapiga kura wangu. Sijui kama unaona hii double standard???
Sasa Mkuu hapa hata siwaelewi. Mwanza hakubomoa nyumba za watu matokeo yake barabara na Uwanja havikupanuliwa ipaswavyo. Dar wamebomoa nyumba za watu walojenga kinyume cha Sheria, barabara imepanukiwa leo hakuna tena msongamano wa magari kwa miaka 10 hadi 20 ijayo.

Mimi sielewi mnachojaribu kusema hapa?!!
 
Kampeni za Magufuli alisema wazi yeye sii Mwanasiasa, Maendeleo hayana Chama, hayana Kabila wala dini.

Na wewe unaamini kabisa kuwa JPM alimaanisha hayo maneno? Kwa nini wakati wa kampeni alikuwa anasema wasipomchagua mtu wa CCM hatajenga barabara katika hilo jimbo? Hatapeleka maji na huduma nyingine kama afya etc.

Kwa nini alibomoa nyumba Kimara na akazuia nyumba zisibomolewe Mwanza kwamba hao ni wapiga kura wake??

Kwa nini alipendelea kujenga miundombinu mbalimbali kijijini kwake Chato?? Kulikuwa na umuhimu wa kujenga uwanja wa ndege Chato? Hospital kubwa kama ile? Pamoja na vitu vingine vyote alivyojenga kwa upendeleo. Sidhani kama kuna ndege yoyote imetua kwenye huo uwanja baada ya mazishi yake.
[/QUOTE]
Siasa mahala popote huendeshwa hivyo. Ikiwa sera za Upinzani hazina ujenzi wa Barabara au Hospital badala yake wameegemea kitu kingine.

Jimbo likimchagua Mbunge kutoka Upinzani ina maana wananchi wametaka ahadi za Upinzanu hamtaki Barabarabali kile walichoahidiwa na Mbunge wa Upinzani. Kwa hiyo, Ukiwa rais huwezi kuwapelekea watu mradi ambao Wananchi hawakuupa kipaumbele. Waswahili wanasema Mpishi hupika Chakula, mteja akipendacho na sii Mpishi akipendacho!
 
Duuuh, Usinichekeshe miye...Hivi nyie watu mnamuonaje Tundu Lissu? Hakuna mshamba na tapeli kama yeye in fact niseme hivi hata Mama Samia tumeliwa! Mule mule Mbwa kuitwa Jibwa..
 
Wala si uongo. Sema baada ya kelele alipunguza kidogo. Mfano angalia uteuzi wake wa wakuu wa mikoa wa kwanza 2016 alioanza nao . Utaona kwa mikoa hii michache home boys walikuwa wangapi .@Gambino
Ebu wataje? Maana kusema rahisi sana najua utaishia Bashite!!
 
Inaonekana bado uko msibani ukiomboleza.Ukabila ni jambo lililo wazi,Watanzania wameliona na wanajua Mwendazake alikuwa mkabila labda sema unawashwa kutamka na kuandikaCHADEMA
 
Huu ndio uzandiki wa mitandaoni
 
Inaonekana bado uko msibani ukiomboleza.Ukabila ni jambo lililo wazi,Watanzania wameliona na wanajua Mwendazake alikuwa mkabila labda sema unawashwa kutamka na kuandikaCHADEMA
Watanzania hao ni kina nani? Ulikutana lini na watanzania wakakwambia wameliona hilo?
 
Inaonekana bado uko msibani ukiomboleza.Ukabila ni jambo lililo wazi,Watanzania wameliona na wanajua Mwendazake alikuwa mkabila labda sema unawashwa kutamka na kuandikaCHADEMA
Ukabila huo ni ipi?

Magufuli awe mkabila kuliko Chadema, chama cha kichaga, chadema ilitolewa kwa mbowe kama zawadi ya mkwe, mbowe pia atakuja kumpa mume wa mtoto wake.
 
Wewe ni mpumbavu nyie chadema endeleeni kuchochea ukabila

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hata iweje wanywa mbege na meno kama kashata hawatatoa Rais wa nchi hii. Watabaki kupiga kelele mitandaoni tu.
 
Ushahidi upo , mfano mmoja wapo ni zile ajira za mwaka Jana za ualimu, Nina Jamaa yangu ni sukuma, tumesoma kozi moja, kuapply nilimtangulia ,kumaliza shule nilimtangulia , gpa nilimshinda , ila yeye akapata ajira Mimi nikakosea ajira, Sasa kigezo kilichotumika mpaka yeye kapata mi nikakosa si ni ukabila ,yeye ni sukuma Mimi ni nyaki😀😀😀 ushahidi huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…