Kwanini CHADEMA tu inakomaliwa kuandaa uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa?

Kwanini CHADEMA tu inakomaliwa kuandaa uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa?

Kwahyo wanataka wapandikize magugu yao Chadema eh??mxiew
Hakuna mahala selikali imekomalia Bali msajili alitaka chadema kiheshimu katiba yao ya chama!

Kingine! Ni ujinga Mbowe na chadema kuendelea kulilia democrasia ambayo hawaitekelezi wao wenyewe kwenye chama chao.

Ndio maana hata Lisu kaona Bora aendelee kula bagga na kupiga soga na wazungu kuliko kurudi kuendelea ku entertain uhuni na umugabe unaoendelea hapo chadema.
 
Serekali ya CCM na CCM yao wanataka kupachika mwenyekiti wanayeweza wakafika naye bei tofauti na Mbowe ambaye watakapothubutu kufanya hivyo ni lazima wakaushe hazina yao na Mbowe hawatampata.
 
Katibu mkuu wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo;

Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale??
Je, mbona NCCR mwenyekiti wake (Mbatia) ana miaka kibao hapo hammsumbui??
Je, Mbona Cheyo na lichama lake mpaka leo anajulikana ni mwenyekiti? kwanini CHADEMA?

Kwanini Chadema tu?
inakera sana!

Why Mbowe?

----
Pia soma

Wanataka kumpandikiza mamluki wao awe mwenye kiti 😂😂😂😂😂
 
Hakuna mahala selikali imekomalia Bali msajili alitaka chadema kiheshimu katiba yao ya chama!

Kingine! Ni ujinga Mbowe na chadema kuendelea kulilia democrasia ambayo hawaitekelezi wao wenyewe kwenye chama chao.

Ndio maana hata Lisu kaona Bora aendelee kula bagga na kupiga soga na wazungu kuliko kurudi kuendelea ku entertain uhuni na umugabe unaoendelea hapo chadema.

Alafu sasa cha ajabu wanaopiga kelele hizo ni wana ccm..kwan nyie kinawauma nn Mbowe kuendelea kubak mwnyekiti??acheni uchawi nyie
 
Katibu mkuu wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo;

Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale??
Je, mbona NCCR mwenyekiti wake (Mbatia) ana miaka kibao hapo hammsumbui??
Je, Mbona Cheyo na lichama lake mpaka leo anajulikana ni mwenyekiti? kwanini CHADEMA?

Kwanini Chadema tu?
inakera sana!

Why Mbowe?

----
Pia soma

Masahihisho - Ole Sosopi ni Mwenyekiti wa Bavicha , si Katibu .

Tukirudi kwenye Mada ni kwamba ccm na serikali yake wanaiogopa mno Chadema , hii ni kwa sababu mgombea wa ccm aliangukia pua kwenye urais mwaka 2015
 
Asante kwa masahahihisho!pls watuachie Chadema yetu..kila mtu ahangaike kivyake yaan wamenikera sana..alafu anaenda clouds kwa vibaraka wa ccm
 
Masahihisho - Ole Sosopi ni Mwenyekiti wa Bavicha , si Katibu .

Tukirudi kwenye Mada ni kwamba ccm na serikali yake wanaiogopa mno Chadema , hii ni kwa sababu mgombea wa ccm aliangukia pua kwenye urais mwaka 2015
Mkuu ivi huwezi badilisha hiyo id

Sisi wasukuma tunapata shida sana kuisoma
 
Tanzania hatuwezi kupiga hatua.... sababu kubwa zamsingi.

1. Serikali kushupalia taasisi na yeyote anayetoa changamoto
A) vyama vya siasa
Serikali kupitia mbinu mbalimbali inatumia nguvu kubwa ilikuangamiza upinzani.....haiwezekani hata mbinguni ulikuwepo upinzani.....Mungu anauwezo wote kumdhiti shetani lakini kuacha.

Tunapambana na wanaotoa mbinu na mikakati mbadala ilikuliamsha taifa kufuata njia bora nasahihi kwa mstabali wetu.

Tunapambana na wanaoonesha sehemu ambazo serikali inakosea ilikujitafakali nakujirekebisha

Tunapambana na intellectuals
LISU
PROF ASSAD
MVUNGI
NK

Tunapambana na wale wote wanaokemea Maovu nakutafsiri njia sahihi mbadala za kuenenda.

B) Elimu
Kwa muda mrefu tunatengeneza Taifa la wajinga katika taifa hili. Elimu imeyumba kuanzia ngazi ya msingi mpaka vyuo vikuu.

Walimu,
tumegeuza wanaofeli ndio waende teaching....matokeo nikwamba mwalimu kilaza atatowa watoto Vilaza.....atatunga mitihani below standards nakufanya
A -zionekane zimetamalaki
First class GPA - zinatamamalaki
PhD- zinatamalaki nk

Lakini ukienda kwenye uhalisia ndio hapo Tunajikuta kuwa
1. Bunge lakushangaza
2. Mahakama za kushinda
3. Wanataaluma wakushangaza
4. Wanasiasa wakushanza

Chakushangaza wote wanamaratsi yenye ufaulu bora kabisa... kumbe mitihani below standards

CCM imeshindwa na haitaki kuwekeza kwenye Elimu bora matokeo yake tunakuwa Taifa la Vilaza......viongozi vilaza, taasisi za Vilaza

- ikitokea vyama makini vya upinzani vinapigwa vita viangamie

- ikitokea genius au bright individuals kama akina Lisu, prof Assad, marehem dr MVUNGI nk wanapigwa vita badala yakutimika vema na kulikombowa Taifa....wanaangamia.

CCM kimekuwa chama cha kukumbatia wajingawajinga na chama kinachowachukia kabisa bright or Individual intellectuals na hivyohivyo kuliweka Taifa gizani

Tazama mambo anayofanya msajili
Badala ya kulea vyama vya siasa, vinateketea mikononi mwake.....amekimbizana na CUF mpaka kimeparaganyika

Sasa Msajili amehamia Chadema anakimbizana nao usiku namchana kanakwamba nayeye anataka kugombea uenyekiti taifa Cdm. Wenye chama chao wameridhika wametulia tuli. Msajili anahaha.

Ukichunguza kwa jicho la tatu unaona kabisa kuna conflicts of interests kwa msajili inawezekana anaajenda zake nyuma ya pazia. Pasipo na ushindani....hakuna maendeleo yakweli

Tuache vyama vya siasa vijiendeshe na vishindane kwa uhuru bila kuingiliwa ilikuwa na Taifa la watu makini na wenye mikakati ya ujenzi bora na uwezo wa kiakili kwa watanzania
Kuhoji
Kutathmini
Kupanga
Kuendesha na kutoa matokeo bora

Vinginevo tutakuwa watu wajingawajinga siku zote .

Msajili lea vyama kwa mustakali wa Taifa la kesho. Historia njema itaandikwa kwako.
 
Jibu ni kwamba wanajua fika kwamba Mbowe ni kiongozi makini aliyeipaisha CHADEMA juu sana. Kwa hio wanataka atoke ili pengine atakayekuja asiwe makini kama alivyo Mbowe. Huu ndo ukweli.
Kumbeee🤔🤔!
[/QUOT
 
Alafu sasa cha ajabu wanaopiga kelele hizo ni wana ccm..kwan nyie kinawauma nn Mbowe kuendelea kubak mwnyekiti??acheni uchawi nyie
Aisee! Ndio maana mimi nasemaga siku zote wafuasi wa chadema ni minyumbu.

Yani Katiba ya chama chako mwenyewe huiheshimu huku wafuasi wako wakishangilia tu kama mazuzu alafu unataka iwepo siku ambapo system ikupe nchi uiongoze? My foot.
 
Kabisaaa badala walalamike wenye chama chao.....maajabu ccm ndio wanalialia hovyohovyo
Nyie ni vipofu mkuu! Na kwakuwa ni vipofu huwezi kuona madhara ya Mbowe kuendelea kuvunja katiba ya chama na kung'ang'ania madaraka.
 
Jibu ni kwamba wanajua fika kwamba Mbowe ni kiongozi makini aliyeipaisha CHADEMA juu sana. Kwa hio wanataka atoke ili pengine atakayekuja asiwe makini kama alivyo Mbowe. Huu ndo ukweli.
Na hapo ndio uwezo wenu wa kufikiri ulipoishia.

Kwa hiyo Mbowe akifa chadema ndio kwisha?
 
Back
Top Bottom