Kwanini CHADEMA tu inakomaliwa kuandaa uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa?

Nyie ni vipofu mkuu! Na kwakuwa ni vipofu huwezi kuona madhara ya Mbowe kuendelea kuvunja katiba ya chama na kung'ang'ania madaraka.

Hamuon ya kwenu mnavyoikanyaga katiba mchana kweupe..shenzy kbs
 
Mwenyekiti wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo;

Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale??
Je, mbona NCCR mwenyekiti wake (Mbatia) ana miaka kibao hapo hammsumbui??
Je, Mbona Cheyo na lichama lake mpaka leo anajulikana ni mwenyekiti? kwanini CHADEMA?

Kwanini Chadema tu?
inakera sana!

Why Mbowe?

----
Pia soma

Haihitaji kuumiza kichwa hapa!
Kama kuna chama ambacho kinawanyima CCM na Magufuli wao usingizi basi ni CHADEMA.
Hakuna chama kingine Tanzania chenye KESI NYINGI Mahakamani kwa Viongozi, Wabunge na Wanachama wake kama CHADEMA…!
Lakini pia CHADEMA ndicho kimepoteza wanachama wengi kwa kuuawa na kutekwa na 'watu wasiojulikana' achilia mbali shambulio la Mhe. Tundu Antipas Lissu ambaye kwa sasa ni mkimbizi wa Kisiasa huko Ulaya!
 
ccm wanajua kuwa chadema ni chama imara sana chini ya uongozi wa Mbowe, wanatafuta namna ya kufanya kiwe na uongozi duni ili kukimaliza. CDM walichokifanyia ccm ktk uchaguzi wa 2015 wanajua ndio maana wanahangaika sana na CDM.
 
Hata CCM ngazi ya chini wapo watu wamehodhi nafasi kama mali yao ya kudumu nao wamulikwe.
 
Mwenyekiti wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo;

Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale??
Je, mbona NCCR mwenyekiti wake (Mbatia) ana miaka kibao hapo hammsumbui??
Je, Mbona Cheyo na lichama lake mpaka leo anajulikana ni mwenyekiti? kwanini CHADEMA?

Kwanini Chadema tu?
inakera sana!

Why Mbowe?

----
Pia soma

Mbowe ni zaidi ya mpinzani ndie kikwazo kwao hio ndio sababu kuu hana bei
 
Msajili hasemi nani achaguliwe na nani, asichaguliwe.

Mnaweza kuwachagua viongozi waliopo na mkaendelea nao, miaka mitano mingine.

Hoja ya msajili ni kwamba, CHADEMA wafanye uchaguzi wa viongozi wao kwa mujibu wa katiba yao.

Muda wa viongozi waliopo umekwisha.

Kuwekewa mamluki ni lazima, maana CHADEMA ndio tishio la ccm.
 
Siasa ni sehemu ya maisha ya watu tuwe wapole tunaweza kuelewa kwanini tupo tunajadili mbowe na si lipumba

Mbowe ni moja ya nguzo ya upinzani

Ila hataki upinzani

Najua wengi tumejikuta tunatupa silaha kwa wanao sema raisi aongezewe muda tumesahau vyama vyetu vina wenye viti walio ondoa ukomo wa uongozi katika katiba zetu

Lengo lao ilikuwa nini

Lengo ni kuhakikisha wanaweka misingi ya wao kuabudiwa kuliko Sera za vyama vyao

Na kwanini wasiweke utaratibu wa kuandaa viongozi ili vyama viendelee kustawi maanake wanaogopa kuongozwa wataka wao waongoze

Hii ndio njia Ccm wanajaribu kuitumia kwa malango wa wabunge wao ili waweze kitumia udhaifu wa katiba za vyama vya upinzani
 
Asante kwa masahahihisho!pls watuachie Chadema yetu..kila mtu ahangaike kivyake yaan wamenikera sana..alafu anaenda clouds kwa vibaraka wa ccm

Katika vitu ambavyo sijawahi kukubaliana navyo na sintokaa nikubalisne navyo ni kiongozi yoyote wa kuchaguliwa kukaa nafasi moja ya kimadaraka zaidi ya miaka 10. Mimi kiongozi wa hivyo hata awe mzuri vipi haingii akilini kuwa yeye tu ndani anaweza kuongoza iwe nchi au taasisi, hasa hizi za kisiasa.

Hivyo basi kutokana na mtazamo wangu huo, sio sahihi Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm hasa ukizingatia kashakaa madarakani zaidi ya miaka 15. Kuna wanacdm wengi ambao uanachama wao hauna shaka, ni bora wachukue hiyo nafasi sasa ili kuboresha demokrasia ya kweli. Kama ni kuogopa ccm kupandikiza mamluki wao kwangu naona ni utetezi dhaifu, maana kama Lowassa alipewa nafasi nyeti kabisa kuliko zote chamani na sasa karudi ccm kuna mamluki zaidi ya huyo? Ni wanaccm wangapi walikuja cdm na mafuriko ya Lowassa na kuwaruka wanacdm wa muda mrefu, kisha kupewa nafasi za kugombea nafasi mbalimbali kama udiwani na ubunge, na wengi ndio wamerudi ccm kuunga mkono juhudi?

Hebu tuacheni utani, kwa sasa sio muda muafaka tena wa Mbowe kukalia kiti cha uenyekiti, apewe mtu kama Heche na katibu mkuu apewe Marcus Albanie tusonge mbele. Naamini cdm ni taasisi, sasa kama Mbowe kawa mwenyekiti kwa miaka 15, kisha kashindwa kuandaa succession plan hilo ni kosa lake la kutokufanya kazi kama taasisi.
 
Msajili hasemi nani achaguliwe na nani, asichaguliwe.

Mnaweza kuwachagua viongozi waliopo na mkaendelea nao, miaka mitano mingine.

Hoja ya msajili ni kwamba, CHADEMA wafanye uchaguzi wa viongozi wao kwa mujibu wa katiba yao.

Muda wa viongozi waliopo umekwisha.

Kuwekewa mamluki ni lazima, maana CHADEMA ndio tishio la ccm.

Sina shaka kuwa ccm wanaweka mamluki ndani ya cdm, lakini mbona hata cdm wenyewe waliweka mamaluki toka cdm na sasa wamerudi tena ccm? Mfano Lowassa, Kalanga mbunge wa Monduli, Mollel mbunge wa Siha, hawa wote na wengine walipokelewa na cdm dakika za mwisho na sasa kupewa nafasi za kugombea. Sasa hapa hatuoni tukisema ccm wataweka mamluki ni kama tunaingizana chaka?

Ni hivi, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita. Ni kweli alikuwa kiongozi imara, ila kwa sasa uwezo wake umeshuka hasa kwa blunder hiyo ya 2015.
 
Katika vitu ambavyo sijawahi kukubaliana navyo na sintokaa nikubalisne navyo ni kiongozi yoyote wa kuchaguliwa kukaa nafasi moja ya kimadaraka zaidi ya miaka 10. Mimi kiongozi wa hivyo hata awe mzuri vipi haingii akilini kuwa yeye tu ndani anaweza kuongoza iwe nchi au taasisi, hasa hizi za kisiasa.

Hivyo basi kutokana na mtazamo wangu huo, sio sahihi Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm hasa ukizingatia kashakaa madarakani zaidi ya miaka 15. Kuna wanacdm wengi ambao uanachama wao hauna shaka, ni bora wachukue hiyo nafasi sasa ili kuboresha demokrasia ya kweli. Kama ni kuogopa ccm kupandikiza mamluki wao kwangu naona ni utetezi dhaifu, maana kama Lowassa alipewa nafasi nyeti kabisa kuliko zote chamani na sasa karudi ccm kuna mamluki zaidi ya huyo? Ni wanaccm wangapi walikuja cdm na mafuriko ya Lowassa na kuwaruka wanacdm wa muda mrefu, kisha kupewa nafasi za kugombea nafasi mbalimbali kama udiwani na ubunge, na wengi ndio wamerudi ccm kuunga mkono juhudi?

Hebu tuacheni utani, kwa sasa sio muda muafaka tena wa Mbowe kukalia kiti cha uenyekiti, apewe mtu kama Heche na katibu mkuu apewe Marcus Albanie tusonge mbele. Naamini cdm ni taasisi, sasa kama Mbowe kawa mwenyekiti kwa miaka 15, kisha kashindwa kuandaa succession plan hilo ni kosa lake la kutokufanya kazi kama taasisi.

Aisee Marcus ni kichwa kinginr shenzy sana wana Moro yakampa Abood!halijui ht kujenga hoja😑
 
SHUGHULI ZA KISIASA ZIMESIMAMISHWA. SASA WANATAKA WAENDESHE VIPI UCHAGUZI. ILITAKIWA MIKUTANO KUANZIA MATAWINI ili wajumbe wahamasike kugombea hicho kiti. SASA wamebana harafu wanalazimisha MWENYEKITI MPYA
 
........................................

Ni hivi, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita. Ni kweli alikuwa kiongozi imara, ila kwa sasa uwezo wake umeshuka hasa kwa blunder hiyo ya 2015.
sAWA ILA SERIKALI INGERUHUSU mikutano ili tuhamasishane kuanzia matawini, kugombea hicho kiti. Kazi za kisiasa zikisimamishwa kwa lazima halafu unawaambia eti hawatekelezi katiba! Nani aliewazuia kama si Serikali. Katiba hiyo hiyo inaratibu mambo ya mikutano yao, lakini umezuia Sijui kama mnaona Hoja hapo
 
Wangalau utetezi huu una mashiko kwa mbali, na sio hayo eti Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti kwa sababu ccm wataweka mamluki wao.
 
LAWAMA ZOTE NI ZA SERIKLI KUSITISHA SHUGHULU HALALI ZA KISIASA KWA MUJIBU WA KATIBA ZA VYAMA HUSIKA KAMA MIKUTANO. SASA wa kulaumiwa saidi ya serikali ni HUYO MSAJILI WA VYAMA KWA KULIFUMBIA HILI harafu anatoa uharo bila aibu. Anachokifanya ni uharo mtupu
 
Sina shaka kuwa ccm wanaweka mamluki ndani ya cdm, lakini mbona hata cdm wenyewe waliweka mamaluki toka cdm na sasa wamerudi tena ccm? Mfano Lowassa, Kalanga mbunge wa Monduli, Mollel mbunge wa Siha, hawa wote na wengine walipokelewa na cdm dakika za mwisho na sasa kupewa nafasi za kugombea. Sasa hapa hatuoni tukisema ccm wataweka mamluki ni kama tunaingizana chaka?

Ni hivi, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita. Ni kweli alikuwa kiongozi imara, ila kwa sasa uwezo wake umeshuka hasa kwa blunder hiyo ya 2015.
Mamluki niliokuwa nawaongelea mimi ni watu watakao ingizwa CHADEMA na ccm, ili kuwa wasaidia kuendelea kuihujumu chadema kwa ndani

Kuhusu Mbowe kuendelea hilo ni takwa la wanaoshiriki uchaguzi huo, kama na wewe ni miongoni mwao nenda kamchague umpendaye, ni kwa njia hiyo CHADEMA watampata mtu wa kuiongoza.

Hakuna kiongozi asiyekuwa na kasoro, 2015 hayakuwa maamuzi ya Mbowe bali kamati kuu, yeye Mbowe aliyatangaza maamuzi yaliyofikiwa kikaoni, kama alivyofanya juzi kutangaza kujitoa.

Nenda kampigie kura unayempenda, na jitahidi kushawishi na wengine ili huyo Mbowe ashindwe na ashinde huyo unaueona atafaa kuwa mwenyekiti mpya wa CHADEMA.
 
Masahihisho - Ole Sosopi ni Mwenyekiti wa Bavicha , si Katibu .

Tukirudi kwenye Mada ni kwamba ccm na serikali yake wanaiogopa mno Chadema , hii ni kwa sababu mgombea wa ccm aliangukia pua kwenye urais mwaka 2015
Mgombea wa chadema 2015 Yuko wapi?
Hivi ageshinda angeunda serikali ya chama gani?
Kweli Mbowe anaongiza misukule
 
huna hoja , waulize walio divert matokeo wanafahamu kila kitu , hoja unayoleta haina mashiko
 
Mamluki niliokuwa nawaongelea mimi ni watu watakao ingizwa CHADEMA na ccm, ili kuwa wasaidia kuendelea kuihujumu chadema kwa ndani

Kuhusu Mbowe kuendelea hilo ni takwa la wanaoshiriki uchaguzi huo, kama na wewe ni miongoni mwao nenda kamchague umpendaye, ni kwa njia hiyo CHADEMA watampata mtu wa kuiongoza.

Hakuna kiongozi asiyekuwa na kasoro, 2015 hayakuwa maamuzi ya Mbowe bali kamati kuu, yeye Mbowe aliyatangaza maamuzi yaliyofikiwa kikaoni, kama alivyofanya juzi kutangaza kujitoa.

Nenda kampigie kura unayempenda, na jitahidi kushawishi na wengine ili huyo Mbowe ashindwe na ashinde huyo unaueona atafaa kuwa mwenyekiti mpya wa CHADEMA.

Sipingi maelezo yako mazuri yenye wingi wa busara. Uzoefu unaonyesha kiongozi akishakaa madarakani zaidi ya miaka 15 uchaguzi huwa ni usanii zaidi. Hiyo ndio tabia yetu waafrika. Kuhusu mamluki watakaopenyezwa na ccm, hivi kuna tofauti ya wanaccm waliopenyezwa na ccm na wanaccm walioletwa na cdm wenyewe? Kama ni hivyo, mbona hawa walioletwa na cdm wenyewe wamerudi tena huko ccm huku wakiwa na taarifa nyingi za ndani ya cdm?

Ni kweli maamuzi ya 2015 sio ya Mbowe bali ni ya kamati kuu, ni hivi kwenye taasisi zetu mwenyekiti huwa na maamuzi 40% hizo zilizobaki ni wengineo. Halafu timu ikivurunda kocha ndio wa kwanza kuwajibika/ wajibishwa.
 
Back
Top Bottom