Hakuna mahala selikali imekomalia Bali msajili alitaka chadema kiheshimu katiba yao ya chama!Kwahyo wanataka wapandikize magugu yao Chadema eh??mxiew
Wanataka kumpandikiza mamluki wao awe mwenye kiti 😂😂😂😂😂Katibu mkuu wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo;
Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale??
Je, mbona NCCR mwenyekiti wake (Mbatia) ana miaka kibao hapo hammsumbui??
Je, Mbona Cheyo na lichama lake mpaka leo anajulikana ni mwenyekiti? kwanini CHADEMA?
Kwanini Chadema tu?
inakera sana!
Why Mbowe?
----
Pia soma
Msajili aipa CHADEMA mpaka Jumatatu kupeleka ratiba ya Mkutano Mkuu wa kuchagua Viongozi wao
Kwa hili msajili kakosea timing, huenda Ni kweli chadema wana makosa, kwa sasa issue Ni uchaguzi Wa serikali za mitaa.Alipaswa kusubiri kwanza.Huyu msajili Ni tatizo.. Hajakosea muda wa uongozi wa chadema uliisha September 14 msajili awasubiri Hadi lini? Walitakiwa September 14 Wawe wamefanya...www.jamiiforums.com
Hakuna mahala selikali imekomalia Bali msajili alitaka chadema kiheshimu katiba yao ya chama!
Kingine! Ni ujinga Mbowe na chadema kuendelea kulilia democrasia ambayo hawaitekelezi wao wenyewe kwenye chama chao.
Ndio maana hata Lisu kaona Bora aendelee kula bagga na kupiga soga na wazungu kuliko kurudi kuendelea ku entertain uhuni na umugabe unaoendelea hapo chadema.
Masahihisho - Ole Sosopi ni Mwenyekiti wa Bavicha , si Katibu .Katibu mkuu wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo;
Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale??
Je, mbona NCCR mwenyekiti wake (Mbatia) ana miaka kibao hapo hammsumbui??
Je, Mbona Cheyo na lichama lake mpaka leo anajulikana ni mwenyekiti? kwanini CHADEMA?
Kwanini Chadema tu?
inakera sana!
Why Mbowe?
----
Pia soma
Msajili aipa CHADEMA mpaka Jumatatu kupeleka ratiba ya Mkutano Mkuu wa kuchagua Viongozi wao
Kwa hili msajili kakosea timing, huenda Ni kweli chadema wana makosa, kwa sasa issue Ni uchaguzi Wa serikali za mitaa.Alipaswa kusubiri kwanza.Huyu msajili Ni tatizo.. Hajakosea muda wa uongozi wa chadema uliisha September 14 msajili awasubiri Hadi lini? Walitakiwa September 14 Wawe wamefanya...www.jamiiforums.com
Alafu sasa cha ajabu wanaopiga kelele hizo ni wana ccm..kwan nyie kinawauma nn Mbowe kuendelea kubak mwnyekiti??acheni uchawi nyie
Masahihisho - Ole Sosopi ni Mwenyekiti wa Bavicha , si Katibu .
Tukirudi kwenye Mada ni kwamba ccm na serikali yake wanaiogopa mno Chadema , hii ni kwa sababu mgombea wa ccm aliangukia pua kwenye urais mwaka 2015
Mkuu ivi huwezi badilisha hiyo idMasahihisho - Ole Sosopi ni Mwenyekiti wa Bavicha , si Katibu .
Tukirudi kwenye Mada ni kwamba ccm na serikali yake wanaiogopa mno Chadema , hii ni kwa sababu mgombea wa ccm aliangukia pua kwenye urais mwaka 2015
😆😆😆😆 ombi lenu linashughulikiwaMkuu ivi huwezi badilisha hiyo id
Sisi wasukuma tunapata shida sana kuisoma
Mchawi mpe mtoto akulelee .Asante kwa masahahihisho!pls watuachie Chadema yetu..kila mtu ahangaike kivyake yaan wamenikera sana..alafu anaenda clouds kwa vibaraka wa ccm
Acha ubishi Mrema alikuwa hajamtajaKawataja wote hao nimesahau tu..nimekereka sana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ombi lenu linashughulikiwa
Haya furahi sasa na roho yako mkuu!Acha ubishi Mrema alikuwa hajamtaja
Kumbeee🤔🤔!
[/QUOT
Aisee! Ndio maana mimi nasemaga siku zote wafuasi wa chadema ni minyumbu.Alafu sasa cha ajabu wanaopiga kelele hizo ni wana ccm..kwan nyie kinawauma nn Mbowe kuendelea kubak mwnyekiti??acheni uchawi nyie
Nyie ni vipofu mkuu! Na kwakuwa ni vipofu huwezi kuona madhara ya Mbowe kuendelea kuvunja katiba ya chama na kung'ang'ania madaraka.Kabisaaa badala walalamike wenye chama chao.....maajabu ccm ndio wanalialia hovyohovyo
Na hapo ndio uwezo wenu wa kufikiri ulipoishia.Jibu ni kwamba wanajua fika kwamba Mbowe ni kiongozi makini aliyeipaisha CHADEMA juu sana. Kwa hio wanataka atoke ili pengine atakayekuja asiwe makini kama alivyo Mbowe. Huu ndo ukweli.