Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
- Thread starter
-
- #41
Nyie ni vipofu mkuu! Na kwakuwa ni vipofu huwezi kuona madhara ya Mbowe kuendelea kuvunja katiba ya chama na kung'ang'ania madaraka.
Mwenyekiti wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo;
Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale??
Je, mbona NCCR mwenyekiti wake (Mbatia) ana miaka kibao hapo hammsumbui??
Je, Mbona Cheyo na lichama lake mpaka leo anajulikana ni mwenyekiti? kwanini CHADEMA?
Kwanini Chadema tu?
inakera sana!
Why Mbowe?
----
Pia soma
Msajili aipa CHADEMA mpaka Jumatatu kupeleka ratiba ya Mkutano Mkuu wa kuchagua Viongozi wao
Kwa hili msajili kakosea timing, huenda Ni kweli chadema wana makosa, kwa sasa issue Ni uchaguzi Wa serikali za mitaa.Alipaswa kusubiri kwanza.Huyu msajili Ni tatizo.. Hajakosea muda wa uongozi wa chadema uliisha September 14 msajili awasubiri Hadi lini? Walitakiwa September 14 Wawe wamefanya...www.jamiiforums.com
Mbowe ni zaidi ya mpinzani ndie kikwazo kwao hio ndio sababu kuu hana beiMwenyekiti wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo;
Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale??
Je, mbona NCCR mwenyekiti wake (Mbatia) ana miaka kibao hapo hammsumbui??
Je, Mbona Cheyo na lichama lake mpaka leo anajulikana ni mwenyekiti? kwanini CHADEMA?
Kwanini Chadema tu?
inakera sana!
Why Mbowe?
----
Pia soma
Msajili aipa CHADEMA mpaka Jumatatu kupeleka ratiba ya Mkutano Mkuu wa kuchagua Viongozi wao
Kwa hili msajili kakosea timing, huenda Ni kweli chadema wana makosa, kwa sasa issue Ni uchaguzi Wa serikali za mitaa.Alipaswa kusubiri kwanza.Huyu msajili Ni tatizo.. Hajakosea muda wa uongozi wa chadema uliisha September 14 msajili awasubiri Hadi lini? Walitakiwa September 14 Wawe wamefanya...www.jamiiforums.com
Asante kwa masahahihisho!pls watuachie Chadema yetu..kila mtu ahangaike kivyake yaan wamenikera sana..alafu anaenda clouds kwa vibaraka wa ccm
Msajili hasemi nani achaguliwe na nani, asichaguliwe.
Mnaweza kuwachagua viongozi waliopo na mkaendelea nao, miaka mitano mingine.
Hoja ya msajili ni kwamba, CHADEMA wafanye uchaguzi wa viongozi wao kwa mujibu wa katiba yao.
Muda wa viongozi waliopo umekwisha.
Kuwekewa mamluki ni lazima, maana CHADEMA ndio tishio la ccm.
Katika vitu ambavyo sijawahi kukubaliana navyo na sintokaa nikubalisne navyo ni kiongozi yoyote wa kuchaguliwa kukaa nafasi moja ya kimadaraka zaidi ya miaka 10. Mimi kiongozi wa hivyo hata awe mzuri vipi haingii akilini kuwa yeye tu ndani anaweza kuongoza iwe nchi au taasisi, hasa hizi za kisiasa.
Hivyo basi kutokana na mtazamo wangu huo, sio sahihi Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm hasa ukizingatia kashakaa madarakani zaidi ya miaka 15. Kuna wanacdm wengi ambao uanachama wao hauna shaka, ni bora wachukue hiyo nafasi sasa ili kuboresha demokrasia ya kweli. Kama ni kuogopa ccm kupandikiza mamluki wao kwangu naona ni utetezi dhaifu, maana kama Lowassa alipewa nafasi nyeti kabisa kuliko zote chamani na sasa karudi ccm kuna mamluki zaidi ya huyo? Ni wanaccm wangapi walikuja cdm na mafuriko ya Lowassa na kuwaruka wanacdm wa muda mrefu, kisha kupewa nafasi za kugombea nafasi mbalimbali kama udiwani na ubunge, na wengi ndio wamerudi ccm kuunga mkono juhudi?
Hebu tuacheni utani, kwa sasa sio muda muafaka tena wa Mbowe kukalia kiti cha uenyekiti, apewe mtu kama Heche na katibu mkuu apewe Marcus Albanie tusonge mbele. Naamini cdm ni taasisi, sasa kama Mbowe kawa mwenyekiti kwa miaka 15, kisha kashindwa kuandaa succession plan hilo ni kosa lake la kutokufanya kazi kama taasisi.
Hashim Rungweeeeeusisahau pia kuna chama cha UPDP cha Fahmi Dovutwa..miaka mingi sana
sAWA ILA SERIKALI INGERUHUSU mikutano ili tuhamasishane kuanzia matawini, kugombea hicho kiti. Kazi za kisiasa zikisimamishwa kwa lazima halafu unawaambia eti hawatekelezi katiba! Nani aliewazuia kama si Serikali. Katiba hiyo hiyo inaratibu mambo ya mikutano yao, lakini umezuia Sijui kama mnaona Hoja hapo........................................
Ni hivi, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita. Ni kweli alikuwa kiongozi imara, ila kwa sasa uwezo wake umeshuka hasa kwa blunder hiyo ya 2015.
sAWA ILA SERIKALI INGERUHUSU mikutano ili tuhamasishane kuanzia matawini, kugombea hicho kiti. Kazi za kisiasa zikisimamishwa kwa lazima halafu unawaambia eti hawatekelezi katiba! Nani aliewazuia kama si Serikali. Katiba hiyo hiyo inaratibu mambo ya mikutano yao, lakini umezuia Sijui kama mnaona Hoja hapo
Mamluki niliokuwa nawaongelea mimi ni watu watakao ingizwa CHADEMA na ccm, ili kuwa wasaidia kuendelea kuihujumu chadema kwa ndaniSina shaka kuwa ccm wanaweka mamluki ndani ya cdm, lakini mbona hata cdm wenyewe waliweka mamaluki toka cdm na sasa wamerudi tena ccm? Mfano Lowassa, Kalanga mbunge wa Monduli, Mollel mbunge wa Siha, hawa wote na wengine walipokelewa na cdm dakika za mwisho na sasa kupewa nafasi za kugombea. Sasa hapa hatuoni tukisema ccm wataweka mamluki ni kama tunaingizana chaka?
Ni hivi, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita. Ni kweli alikuwa kiongozi imara, ila kwa sasa uwezo wake umeshuka hasa kwa blunder hiyo ya 2015.
Mgombea wa chadema 2015 Yuko wapi?Masahihisho - Ole Sosopi ni Mwenyekiti wa Bavicha , si Katibu .
Tukirudi kwenye Mada ni kwamba ccm na serikali yake wanaiogopa mno Chadema , hii ni kwa sababu mgombea wa ccm aliangukia pua kwenye urais mwaka 2015
huna hoja , waulize walio divert matokeo wanafahamu kila kitu , hoja unayoleta haina mashikoMgombea wa chadema 2015 Yuko wapi?
Hivi ageshinda angeunda serikali ya chama gani?
Kweli Mbowe anaongiza misukule
Mamluki niliokuwa nawaongelea mimi ni watu watakao ingizwa CHADEMA na ccm, ili kuwa wasaidia kuendelea kuihujumu chadema kwa ndani
Kuhusu Mbowe kuendelea hilo ni takwa la wanaoshiriki uchaguzi huo, kama na wewe ni miongoni mwao nenda kamchague umpendaye, ni kwa njia hiyo CHADEMA watampata mtu wa kuiongoza.
Hakuna kiongozi asiyekuwa na kasoro, 2015 hayakuwa maamuzi ya Mbowe bali kamati kuu, yeye Mbowe aliyatangaza maamuzi yaliyofikiwa kikaoni, kama alivyofanya juzi kutangaza kujitoa.
Nenda kampigie kura unayempenda, na jitahidi kushawishi na wengine ili huyo Mbowe ashindwe na ashinde huyo unaueona atafaa kuwa mwenyekiti mpya wa CHADEMA.