Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ukikimbizana na kichaa aliyeiba nguo zako wakati unaoga wote mnafanana mbele za mashuhuda.Chadema wameamua kumpuuza Makonda. Hakuna kiongozi wa CDM anayeangaika na maelekezo yake. Matokeo yake hata mazungumzo yake na vyombo vya habari hayana comments wala hakuna aliyeyapa attention .
Je hii ni style mpya yakutoshirikiana naye wala kumpa mada zakupambana nazo? Tumemsikia leo anawaomba upinzani waende wakafanye mikutano, kwanini leo wakati aliwahi kuwakataza wapinzani wasifanye siasa wakati akiwa mkuu wa Mkoa? Je maendeleo ya kipindi kile na ya sasa yana utofauti? Nini anachotafuta kwa wapinzani? Kwanini atake ligi nao? Kwanini asifanye ligi na CCM ?Je, ukimya wa upinzani unamuumiza nini?
Aliyeanzisha uzi ni CHADEMA?
Anasema CHADEMA siyo Chama cha Upinzani bali ni Chama cha Watoa taarifa.Chadema wameamua kumpuuza Makonda. Hakuna kiongozi wa CDM anayeangaika na maelekezo yake. Matokeo yake hata mazungumzo yake na vyombo vya habari hayana comments wala hakuna aliyeyapa attention .
Je hii ni style mpya yakutoshirikiana naye wala kumpa mada zakupambana nazo? Tumemsikia leo anawaomba upinzani waende wakafanye mikutano, kwanini leo wakati aliwahi kuwakataza wapinzani wasifanye siasa wakati akiwa mkuu wa Mkoa? Je maendeleo ya kipindi kile na ya sasa yana utofauti? Nini anachotafuta kwa wapinzani? Kwanini atake ligi nao? Kwanini asifanye ligi na CCM ?Je, ukimya wa upinzani unamuumiza nini?
Ukweli ndiyo huo.Nilisema huko nyuma, Makonda alikuja kichwakichwa akadhani bado wapinzani watakuwa na muda wa kupoteza kwenye siasa za kiki. Bahati nzuri wapinzani ni kama wamemstukia na kumpuuza. Waliompa kazi walitegemea atakuja kuset ajenda za wapinzani, akawa anawataka wajibizane naye ili aonekane anafanya kazi aliyotumwa kwa ufanisi.
Ushauri wangu, wapinzani wasipoteze muda wa kujibizana na huyo muhalifu. Huyo anapaswa kuwa jela, sio kufanya siasa majukwaani. Chini ya utawala wa Magufuli, Makonda ni moja ya wanaccm waliofaya siasa chafu Hadi kupotezea siasa za ushindani mvuto. Na sababu hasa ya kuzipotezea mvuto ni katika kushuritisha ccm ionekanane inakubalika sana. Kwa Sasa ccm imebaki yenyewe ikitamba lakini haina mvuto, na watu wamezipuuza siasa, wameona Bora mpira sio hizo siasa chafu za kina Makonda.
Akijibu nistueAliyeanzisha uzi ni CHADEMA?
Nilisema huko nyuma, Makonda alikuja kichwakichwa akadhani bado wapinzani watakuwa na muda wa kupoteza kwenye siasa za kiki. Bahati nzuri wapinzani ni kama wamemstukia na kumpuuza. Waliompa kazi walitegemea atakuja kuset ajenda za wapinzani, akawa anawataka wajibizane naye ili aonekane anafanya kazi aliyotumwa kwa ufanisi.
Ushauri wangu, wapinzani wasipoteze muda wa kujibizana na huyo muhalifu. Huyo anapaswa kuwa jela, sio kufanya siasa majukwaani. Chini ya utawala wa Magufuli, Makonda ni moja ya wanaccm waliofaya siasa chafu Hadi kupotezea siasa za ushindani mvuto. Na sababu hasa ya kuzipotezea mvuto ni katika kushuritisha ccm ionekanane inakubalika sana. Kwa Sasa ccm imebaki yenyewe ikitamba lakini haina mvuto, na watu wamezipuuza siasa, wameona Bora mpira sio hizo siasa chafu za kina Makonda.
Ule msambwanda unamlemea tunamsamehe bureAnasema CHADEMA siyo Chama cha Upinzani bali ni Chama cha Watoa taarifa.