Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Professa Safari ni mwanachama wa Chadema, aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho, ni bingwa sheria, mwanasiasa mkongwe anayezijua siasa za upinzani, lakini ametoswa kwenye kamati ya wazee ya chama hicho.