The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Mimi hoja zangu Mbona hujajibu upo kimya mpaka sasa?Ingefaa ungesema hoja fulani ni nyepesi kwa sababu hii na hii.pia ungesema hoja hii ni nzito na sababu ni hii na hii. Hoja hujibiwa kwa hoja.
Hii umeleta hoja jadidi kweli kweli... Ni kwa nini sisi ndiyo tusiwe wakopeshaji badala yake tunajisifia kwa kuwa wakopaji!??ana mentality za kujisifia kuwa mkopaji na sio mkopeshaji...
Ni kweli kabisa, hoja ni zile za kujipendekeza kwa serekali Ili upate choo laini.Tundu Lissu hana hoja za kustahili kujibiwa .Maana Lissu hoja zake ni za uzushi ,uongo na ubaguzi tu. Mheshimiwa Kafulila sizani kama anaweza kuwa na muda huo mchafu wa kujibu hoja zisizo na mashiko wala maslahi kwa Taifa letu.
Lucas hana uwezo wa kujibu hoja sana atakuambia 'tangu lini na wewe ukawa na akili za kuhoji '. Huyu jamaa ni boga kweli kichwani kajaza makamasi tu.Mimi hoja zangu Mbona hujajibu upo kimya mpaka sasa?
Lucas Mwashambwa kaenda kumwambia kafulila amuongezee pesa maana alipokuja ni pamoto na bado hana nondo za kutosha🤣🤣Lucas hana uwezo wa kujibu hoja sana atakuambia 'tangu lini na wewe ukawa na akili za kuhoji '. Huyu jamaa ni boga kweli kichwani kajaza makamasi tu.
Sawa mkuu 👏Ingefaa ungesema hoja fulani ni nyepesi kwa sababu hii na hii.pia ungesema hoja hii ni nzito na sababu ni hii na hii. Hoja hujibiwa kwa hoja.
Naona wewe huelewi na huna uelewa wa masuala ya uchumi na maendeleo. Hivi unafikiri rasilimali pekee ulizonazo ndio zinakufanya uwe tajiri? Unaweza kuwa na kila aina ya rasilimali na bado ukawa masikini tu .utajiri unaanzia akilini mwako.Akili ndio utajiri nambari moja.Achana na Chadema hata humu tu kuna pumba anazolisha watu leaves a lot to desired analeta story za duniani wanakopa na sisi tukope na sio nini tufanye ili kufanikiwa..., ana mentality za kujisifia kuwa mkopaji na sio mkopeshaji...
Na kwa nchi yenye resources kubwa kama hii naweza kusema anasumbuliwa na mental slavery...
Mimi mmoja tu naweza ikalisha chini kamati kuu nzima ya CHADEMA ikiwa na komputa na bando kwa ajili ya ku Google majibu.Lucas Mwashambwa kaenda kumwambia kafulila amuongezee pesa maana alipokuja ni pamoto na bado hana nondo za kutosha🤣🤣
Ndio utujibu sasa tunayokuuliza kabla ya kufika huko chadema mkuu?🤣Mimi mmoja tu naweza ikalisha chini kamati kuu nzima ya CHADEMA ikiwa na komputa na bando kwa ajili ya ku Google majibu.
Dish limeshayumba weweMimi mmoja tu naweza ikalisha chini kamati kuu nzima ya CHADEMA ikiwa na komputa na bando kwa ajili ya ku Google majibu.
Uzalendo na uchapakazi wake pamoja na misimamo yake ya kizalendo ndio inanifanya nijiunge mkono.kwakuwa mimi ni muumini wa wazalendoHivi huyu Kafulila amekupa nini?
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu kama weweNaendelea kukusamehe bure kabisa maana anajuwa aina ya akili yako.na aina yako ndio mmejazana huko CHADEMA
Huyo Steve si ndiyo CCM imemuamini kumsemea Samia.Lisu size yake ni steven nyerere
NdiyoHuyo Steve si ndiyo CCM imemuamini kumsemea Samia.
Naunga mkono hoja kabisa. Ndio maana hata ujengaji wao wa hoja CHADEMA ni wa kiwango cha chini sana.hii ndio sababu hujikita katika uzushi,uongo na uchonganisha tu.Ana akili kuliko chama kizima!
CCM ni chama kilichosheheni watu makini na wazalendo kwa Taifa letu.CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu kama wewe
Mataahira kama wewe wapo kibao hukoCCM ni chama kilichosheheni watu makini na wazalendo kwa Taifa letu.
CCM ndio tumaini la watanzania.ndio sababu Inaendelea kuaminika na kuchaguliwa kwa kishindo katika kila uchaguzi.Mataahira kama wewe wapo kibao huko
Tofautisha UKWELI na kusifia.mimi huongea ukweli na siyo kusifia.LUKAS yuko busy kusifia wWANAUME wenzake ..... Kazi nyingine ni ngumu sana. Hasa hii ya LUKAS....!!
Mwnaume na akili zako huwezi kuwa kila siku ukiamka .... KAFULILA, KAFULILA, KAFULILA. Unless haunazo kichwani.