Pre GE2025 Kwanini CHADEMA Wanamuogopa sana David Kafulila?

Pre GE2025 Kwanini CHADEMA Wanamuogopa sana David Kafulila?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ana mentality za kujisifia kuwa mkopaji na sio mkopeshaji...
Hii umeleta hoja jadidi kweli kweli... Ni kwa nini sisi ndiyo tusiwe wakopeshaji badala yake tunajisifia kwa kuwa wakopaji!??

Yule msomi mvaa tai zenye Rangi ya bendera yetu ya Taifa , Mwigulu Nchemba Kazi yake yeye ni kusema "deni letu ni himilivu"...😜😜
 
Tundu Lissu hana hoja za kustahili kujibiwa .Maana Lissu hoja zake ni za uzushi ,uongo na ubaguzi tu. Mheshimiwa Kafulila sizani kama anaweza kuwa na muda huo mchafu wa kujibu hoja zisizo na mashiko wala maslahi kwa Taifa letu.
Ni kweli kabisa, hoja ni zile za kujipendekeza kwa serekali Ili upate choo laini.
 
Achana na Chadema hata humu tu kuna pumba anazolisha watu leaves a lot to desired analeta story za duniani wanakopa na sisi tukope na sio nini tufanye ili kufanikiwa..., ana mentality za kujisifia kuwa mkopaji na sio mkopeshaji...

Na kwa nchi yenye resources kubwa kama hii naweza kusema anasumbuliwa na mental slavery...
Naona wewe huelewi na huna uelewa wa masuala ya uchumi na maendeleo. Hivi unafikiri rasilimali pekee ulizonazo ndio zinakufanya uwe tajiri? Unaweza kuwa na kila aina ya rasilimali na bado ukawa masikini tu .utajiri unaanzia akilini mwako.Akili ndio utajiri nambari moja.

Akili ni pamoja na kujuwa upate wapi pesa kwa ajili ya kuvuna rasilimali zako kama vile gas? Au upate wapi pesa kwa ajili ya kujenga bwawa la Mwalimu Nyerere ambalo kukamilika kwake kutakupatia umeme wa uhakika na wa bei nafuu na hivyo kufungua Secta ya viwanda na kuvutia wawekezaji katika maeneo mbalimbali ya kiuchumi.

Akili, Akili, Akili ni jambo la muhimu sana na ndicho anacho zungumzia Mheshimiwa Kafulila kukopa na kuwekeza kwenye miradi ya kimkakati na maendeleo
 
LUKAS yuko busy kusifia wWANAUME wenzake ..... Kazi nyingine ni ngumu sana. Hasa hii ya LUKAS....!!

Mwnaume na akili zako huwezi kuwa kila siku ukiamka .... KAFULILA, KAFULILA, KAFULILA. Unless haunazo kichwani.
Tofautisha UKWELI na kusifia.mimi huongea ukweli na siyo kusifia.
 
Back
Top Bottom