Kwanini chama cha CHADEMA hakifanyi tathmini ya hali ya uchumi kama alivyokuwa akifanya Prof Lipumba? Au hakina wataalamu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Wakati Cuf kilipokuwa ni chama kikuu cha upinzani na KUB akiwa Hamad Rashid kilikuwa kinafanya tathmini ya hali ya uchumi kila baada ya muda fulani.

Na uchambuzi yakinifu ulikuwa unafanywa na mbobezi wa maswala ya uchumi duniani ambaye pia ndiye chairman wa CUF.

Tangu Chadema wawe chama kikuu cha upinzani mwaka 2010 sijawahi kuwasikia popote wakifanya tathmini ya hali ya uchumi nchini.

Sijaelewa ni kwanini lakini nilipojaribu kuiangalia CC ya Chadema sijamuona mchumi mbobezi hata mmoja.

Anyway, mada yangu inauliza swali tu.

Maendeleo hayana chama!
 
Huo ni udhaifu mkubwa sana kwa CHADEMA, wao wako busy na tume huru ya uchaguzi kwa sababu wanawaza vyeo na madaraka badala ya kuchambua hali ya uchumi wa wananchi.

Angalau ACT Wazalendo wanajitahidi sana kwenye kwenye kufanya chambuzi mbalimbali za masuala ya uvhumi nchini
CHADEMA wako kimadaraka zaidi!
 
Ukiwa zuzu wa lumumba tutakujua kwa comments zako
Huo ni udhaifu mkubwa sana kwa CHADEMA, wao wako busy na tume huru ya uchaguzi kwa sababu wanawaza vyeo na madaraka badala ya kuchambua hali ya uchumi wa wananchi.

Angalau ACT Wazalendo wanajitahidi sana kwenye kwenye kufanya chambuzi mbalimbali za masuala ya uchumi nchini

In God we Trust
 
Wanaogopa kutoa Takwimu za kweli zitakazotofautiana na watawala watafunguliwa kesi ya 200

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukawii kuambiwA mchochezi, labda km hio tathmini itakuwa positive
 
Wanaogopa kutoa Takwimu za kweli zitakazotofautiana na watawala watafunguliwa kesi ya 200

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni mpumbavu anajifanya kulaumu wapinZani hasa CDM wakati anajua wazi baada ya awamu ya 5 kuingia kitu cha kwanza kilikuwa kutunga sheria za takwimu ili watu wasichambue mambo mbalimbali kwa takwimu na kwa uwazi.Saizi ukifanya hivyo utatafuta na defenda za polisi za kila polisi na mkoa,na hakimu anakuandalia kesi na hukumu kabla hata hujafikishwa mahakamani.Lakin Nyumbu na mikia ya lumumba hawaoni hayo.
unafiki ndo unatuumiza wabongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Cuf kilipokuwa ni chama kikuu cha upinzani na KUB akiwa Hamad Rashid kilikuwa kinafanya tathmini ya hali ya uchumi kila baada ya muda fulani.

Na uchambuzi yakinifu ulikuwa unafanywa na mbobezi wa maswala ya uchumi duniani ambaye pia ndiye chairman wa CUF.

Tangu Chadema wawe chama kikuu cha upinzani mwaka 2010 sijawahi kuwasikia popote wakifanya tathmini ya hali ya uchumi nchini.

Sijaelewa ni kwanini lakini nilipojaribu kuiangalia CC ya Chadema sijamuona mchumi mbobezi hata mmoja.

Anyway, mada yangu inauliza swali tu.

Maendeleo hayana chama!
Mmhhh! We waonee tu! Tangu M/kiti, Katibu na kamati kuu ina nini na nani? Siku zote utamsikia yule mwanasheria mwenye kelele nyingi akiamini maendeleo huletwa na sheria.
 
Huo ni udhaifu mkubwa sana kwa CHADEMA, wao wako busy na tume huru ya uchaguzi kwa sababu wanawaza vyeo na madaraka badala ya kuchambua hali ya uchumi wa wananchi.

Angalau ACT Wazalendo wanajitahidi sana kwenye kwenye kufanya chambuzi mbalimbali za masuala ya uchumi nchini

Mkumbuke kuna sheria ya takwimu awamu hii,
Hii sio awamu ya 4 ya kuwa kila mtu yupo free kusema anything any time about uchumi
 
Wakati Cuf kilipokuwa ni chama kikuu cha upinzani na KUB akiwa Hamad Rashid kilikuwa kinafanya tathmini ya hali ya uchumi kila baada ya muda fulani.

Na uchambuzi yakinifu ulikuwa unafanywa na mbobezi wa maswala ya uchumi duniani ambaye pia ndiye chairman wa CUF.

Tangu Chadema wawe chama kikuu cha upinzani mwaka 2010 sijawahi kuwasikia popote wakifanya tathmini ya hali ya uchumi nchini.

Sijaelewa ni kwanini lakini nilipojaribu kuiangalia CC ya Chadema sijamuona mchumi mbobezi hata mmoja.

Anyway, mada yangu inauliza swali tu.

Maendeleo hayana chama!
Inawezekana hakuna wataalamu.
 
Ni hoja fikirishi kidogo, kuna watu hapo juu wanazungumzia sheria ya Takwimu lakini wanasahau hata kabla ya 2015 hakukuwepo chama kinachotoa tathmini na kushauri.

Lakini pia hata CCM yenyewe hakuna mahala ilipowahi kutoa tathmini ya kiuchumi zaidi ya kutegemea ile ya Serikali.

Hivi vyama ni wakati sasa wa kuwa na watu waliobobea kwenye nyanja tofauti tofauti ili angalau kila robo ya mwaka wawe wanatoa tathmini kwenye kada tofauti tofauti na kuishauri pia Serikali, Lazima pia hivi vyama viwe na washauri kila kada kuanzia usalama, uchumi, siasa, Elimu, biashara, miundombinu nk na hapa wanaweza kuwa na wabobezi wakutosha na ndio maana ya kuitwa vyama mbadala.
 
Wakati Cuf kilipokuwa ni chama kikuu cha upinzani na KUB akiwa Hamad Rashid kilikuwa kinafanya tathmini ya hali ya uchumi kila baada ya muda fulani.

Na uchambuzi yakinifu ulikuwa unafanywa na mbobezi wa maswala ya uchumi duniani ambaye pia ndiye chairman wa CUF.

Tangu Chadema wawe chama kikuu cha upinzani mwaka 2010 sijawahi kuwasikia popote wakifanya tathmini ya hali ya uchumi nchini.

Sijaelewa ni kwanini lakini nilipojaribu kuiangalia CC ya Chadema sijamuona mchumi mbobezi hata mmoja.

Anyway, mada yangu inauliza swali tu.

Maendeleo hayana chama!
kwani huko ccm hakuna wataalamu wa kufanya tathmini ya uchumi? Na je hiyotathmini ya Lipumba imetusaidiaje kama nchi?
 
Back
Top Bottom