Kwanini China haina Waafrika?

Kwanini China haina Waafrika?

Popote walipo watu weusi katika Dunia hii ni kero tupu.

Wana imani za kipumbavu za kishirikina, Wanauana, wanafitiniana, hawapendani, ni Wachafu na hawawezi kutumia vizuri akili zao au uwezo wa kufikiri katika maendeleo...mbaya zaidi hawawezi hata kujiongoza

Watu weusi ni Tatizo Duniani
Ila shemeji umetuzalilisha sana
 
Sababu kubwa ni ubaguzi wa rangi na huo ubaguzi wa rangi umesababishwa na akili za mtu mweusi kuonekana ana akili ndogo kulinganisha na race nyingine.
Hata huko Marekani ambapo kuna weusi bado wazungu waoga sana kutengeneza familia na weusi(ambao wao huwaona kama matahira).
Tungekuwa kichwan zimo aloo weusi ni best race kwenye physic na u resistant kwenye magonjwa.
 
Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?

Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
swali la hovyo sana, kwa karne hii bado unadhani rangi ya ngozi una correkate na economic apetIte?
 
Ulipaswa uulize kwanini ulaya kuna WaAfrica wengi, unahoji vipi kutokuwepo kwa mtu sehem ambapo si kwao?

Ni sawa na kuuliza kwanini mara hakuna Wanyakyusa?, Sio kwao na hawaoni/hawapati fulsa uko.
Ulipaswa ujiulize kwanini Dar kuna Wahaya wengi? Walitangulia vyuoni na wanafanya kazi maofisini huko.
 
Sababu kubwa ni ubaguzi wa rangi na huo ubaguzi wa rangi umesababishwa na akili za mtu mweusi kuonekana ana akili ndogo kulinganisha na race nyingine.
Hata huko Marekani ambapo kuna weusi bado wazungu waoga sana kutengeneza familia na weusi(ambao wao huwaona kama matahira).
Tungekuwa kichwan zimo aloo weusi ni best race kwenye physic na u resistant kwenye magonjwa.
swali la hovyo sana - nape
 
Sababuu kuu nchi za ki asia kuto kuwa waafrica au wazungu wengi ni hizi

1. Population
Hizi nchi toka dunia iumbwe zina watu wengi zina high birthrate sababu hii inafanya wasitake wafanyakazi yaani cheap labor kutoka africa maaana nao wana cheap labor hasa china watu 1.3 billion unahisi watahitaji watu kutoka africa

2. Akili IQ na ustaarabu
Hizo nchi hasa china japan korea kusini singapore huwa wana ustaarabu na akili mno ustaraabu na maanisha mfumo wa maisha hawana kona kona pia ni magenius kichwani iq zao ni kubwa mno kukaa na wajinga hadi wazungu ki iq wamazidiwa na hawa watu .... mara nyingi mtu mwenye akili sana hapendi kukaaa na mpumbavu sasa waafrica wengi wapumbavu na konana kona nyingi na uvivu...


3.MAJANGA YA AFRICA WALIPOFIKA HUKO MIAKA YA SIKU HIZI

baadhi ya wa africa hasa china inawapokea vizuri na kuwajali kabisa hasa guanzhou ni sehemu china ambayo next ina waafrica wengi na miaka ijayo kutakuwa na wachina wa kiafrica wengi na guanzhou bila africa sio guanzhou maana biashara ya jiji lile inategemea waafrica

Basi baadhi ya wafrica pale hasa wana nigeria wanauza madawa ya kulevya mara wizi mara kesi kupigana mara sijui utapeli kwenye atm ..... mara kuwafundisha wachina wezi utapeli hivyo baadhi ya wachina wanaanza kuwa chukia waafrica wote kwa ujumla ...inshort wana nigeria ndo mara nyingi sehemu yeyote wanaharibu taswira yetu waafrica maana lazima tu wataharisha tu
India na Pakistani kuna jamii ya wabantu inaitwa Siddi. Japo siyo wengi lakini wameishi huko kwa muda mrefu sana.
 
Ila shemeji umetuzalilisha sana
Hapana Mkuu, huu ni Ukweli...Wabantu ni tatizo kubwa katika dunia hii...kama wasingekuwepo Wazungu na hao Waasia sisi hata kujiongoza wenyewe tu hatuwezi ndio maana hata sshv mifumo yao ndiyo inayotuongoza

Tazama hata Mainjinia tulionao....wamesoma mpaka 7 years lakini hawawezi kuendesha miradi mikubwa ya barabara na majengo bila Wachina...kwa karne hii yenye kila nyenzo za ujenzi, softwares n.k

Nafuu mara 100 watu weusi wasio wabantu
 
Back
Top Bottom