Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Sasa hapo namba moja(vipaumbele) ndio wanapoanzia kufanya hicho unacho kipinga.
Yaani kiongozi wa juu kama Raisi kwenye mambo ya fedha hasa mikopo anatakiwa ashauriane kwa kina na bunge
Masharti nafuu? Wachina wanaiteka africa kwa mikopo mikubwa ambayo wanajua dhahiri haito lipika. Ndipo hapo huja kwa back door na kudemand rasilimali.Kwa sababu wana mashart nafuu ambayo baadae husababisha bandari na viwanja vya ndege kuendeshwa na wachina wenyewe
Nadhani hujaelewa nilicho andika tumemaanisha kitu kimojaMasharti nafuu? Wachina wanaiteka africa kwa mikopo mikubwa ambayo wanajua dhahiri haito lipika. Ndipo hapo huja kwa back door na kudemand rasilimali.
Ni wajanja sana.
Bunge lenyewe, wenye PhD na Masters zao wanafikiri kama kibajaji? Ukiwa upande ule wimbo ni mmoja tu sifiaaaaa tumbo liendelee kukuaSasa hapo namba moja(vipaumbele) ndio wanapoanzia kufanya hicho unacho kipinga.
Yaani kiongozi wa juu kama Raisi kwenye mambo ya fedha hasa mikopo anatakiwa ashauriane kwa kina na bunge
Tulisoma kwenye historia Open door policy by USA na Neo-Colonialism. Wajukuu wetu watasoma mfumo mpya unaohasisiwa na China sijui utaitwaje labda Loa - Resourcism policy by ChinaMasharti nafuu? Wachina wanaiteka africa kwa mikopo mikubwa ambayo wanajua dhahiri haito lipika. Ndipo hapo huja kwa back door na kudemand rasilimali.
Ni wajanja sana.
Hahahh mambo yale yale yanajirudia. Ila bwana ni tofautiTulisoma kwenye historia Open door policy by USA na Neo-Colonialism. Wajukuu wetu watasoma mfumo mpya unaohasisiwa na China sijui utaitwaje labda Loa - Resourcism policy by China
Au nasema uongo jamani?
Ndukiii.......
Kabisa mkuuHahahh mambo yale yale yanajirudia. Ila bwana ni tofauti
Kichwa chako cha Habari kingekuwa 'Kwanini China inapendwa sana na Marais Mbumbumbu baadhi wa Afrika?' Kingependeza na Kueleweka mno.Pamoja na nchi za Afrika kutaka kujitegemea ila viongozi wake wamekuwa wepesi sana kutaka sifa za kijinga kwa kununua au kukopeshwa fedha kupitia miradi ambayo hugeuka mzigo kwa wananchi.
Mikataba ya China hufanywa siri kubwa wakati miradi inaanza ila unapofika muda wakuilipa ndipo mijadala uibuka kutoka kona mbalimbali kuhusu kitanzi watawala walivyotuvisha.
Je, nani anawadanganya viongozi wa Afrika kwamba kutengeneza madeni yasiyo na tija kutainufaisha nchi siku za mbeleni?
Natamani viongozi wetu wawe na:
1. Vipaumbele
2. Wawazi kwa wananchi
3. Hofu ya Mungu hasa kuhusu kudanganya waliowapa kura
4. Waadilifu
5. Wakubali kushtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi
Mikopo isiyo na masharti yaendayo na haki za binadamu, demokrasia, chaguzi uhuru.Kwa sababu ya mikopo