Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Kumbukumbu zinaniambia mwalimu Nyerere alizuia madini na gas kuchimbwa ili vizazi vya baadae baada ya kupata elimu mujaraab basi wanufaike na rasilimali hizo hivohivo na kwenye soka alikataza tusifike huko kombe la dunia mpaka vizazi vya baadae vijitambue ili kunufaika na mashindano hayo😂😂😂Kwanini Tanzania pia haishiriki kombe la Dunia [emoji276]mtoa mada acha bangi
Nimecheka kama chizi, jamaa anaenda mpaka China wakati kuna mfano hapa hapa nchini kwake. Au hata angeuliza mbona East African Countries huwa hatushiriki!!Unahangaika hivyo,mfano so mdogo tu,kwa nini Tanzania haishiriki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa wanashiriki kwenye hatua za kufuzu tu wanatolewa, tofauti yao nasisi (stars) ni rangi za ngozi tu.
Aisee watu mnajua kuvunja sana mbavu za watuHapo Moto uliwaka Kama China hakuchezea 10-0 bahati
Kuna ile movie yao wanacheza mpira kama kung-fu, sema nimeisahau jina ila walionekana wako vizuri sanaDuh sahih ila naona 2002 walishiriki wakapigwa nje ndani
Kung-fu mkuuKila inchi ina vipaumbele vyake vya soka.
Mfano hata marekani wao zamani miaka ya 90 kurudi nyuma walijikita sana ktk Basketball, baseball,nk,.
Football ilikuwa sio favorite ya wamarekani wengi.
Hata India wao favorite yao ni mchezo wa Crickets.na sio football.
China wao hata sijuwi kipaumbele ni nn?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbukumbu zinaniambia mwalimu Nyerere alizuia madini na gas kuchimbwa ili vizazi vya baadae baada ya kupata elimu mujaraab basi wanufaike na rasilimali hizo hivohivo na kwenye soka alikataza tusifike huko kombe la dunia mpaka vizazi vya baadae vijitambue ili kunufaika na mashindano hayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa tumuulize jamaa kwa nini tz hatushirikiUnahangaika hivyo,mfano so mdogo tu,kwa nini Tanzania haishiriki?
Duh... how informativeHbr za mchna
Naomba sababu Ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia
Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia uwanja wetu wa mkapa
Taifa Lina watu 2 bilion Kweli imeshindwa kutoa first elven Bora kabsa ili kuweza kupamban na mataifa mengine Kama USA , UK ,nk
Je tuseme hao wenzetu wao wako busy Sana kupambana na Hali ya uchumi na utafutaji tu
Safi Japan naona kila awamu mpo na mnaupiga mwingi sana
Hawajafuzu Waite waje kwenye Dauda bonanzaHbr za mchna
Naomba sababu Ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia
Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia uwanja wetu wa mkapa
Taifa Lina watu 2 bilion Kweli imeshindwa kutoa first elven Bora kabsa ili kuweza kupamban na mataifa mengine Kama USA , UK ,nk
Je tuseme hao wenzetu wao wako busy Sana kupambana na Hali ya uchumi na utafutaji tu
Safi Japan naona kila awamu mpo na mnaupiga mwingi sana
Shaolin soccerKuna ile movie yao wanacheza mpira kama kung-fu, sema nimeisahau jina ila walionekana wako vizuri sana
Bora mzee wa watu angejilia tu mali za nchi kuliko alivyoangaikia hiki kizazi kisichojitambuaKumbukumbu zinaniambia mwalimu Nyerere alizuia madini na gas kuchimbwa ili vizazi vya baadae baada ya kupata elimu mujaraab basi wanufaike na rasilimali hizo hivohivo na kwenye soka alikataza tusifike huko kombe la dunia mpaka vizazi vya baadae vijitambue ili kunufaika na mashindano hayo😂😂😂
Kuna mechi alikuwa gwala au zaidiHapo Moto uliwaka Kama China hakuchezea 10-0 bahati
2002 Korea na Japan ,China alishiriki,China alikuwa kundi moja na BrazilMchezaji gani star kutoka China au India anayekipiga klabu kubwa Ulaya? Japan najua kuna Tomiyasu
Acha porojo za vijiwenichina ilifungiwa na fifa iliposhiriki mara ya mwisho kwa kuzidisha wachezaji uwanjani kutokana na mfanano wao! na kubadilishana bila mwamuz kujua na makosa mengine
Hapo Moto uliwaka Kama China hakuchezea 10-0 bahati
Hapna siyo kwamb mtoa mada hajui sababu za Tanzania na na east Africa kutoshiriki anajuwa vzr yey anashangaa kutowaona mataifa hayo makubwa kwenye sokaNimecheka kama chizi, jamaa anaenda mpaka China wakati kuna mfano hapa hapa nchini kwake. Au hata angeuliza mbona East Africa Countries huwa hatushiriki!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe2002 Korea na Japan ,China alishiriki,China alikuwa kundi moja na Brazil
Ngoja tusame YouTubeAkifungwa tano au sita km sujasahau