Kwanini China na India huwa hawashiriki kombe la dunia?

Kwanini China na India huwa hawashiriki kombe la dunia?

Kwanini Tanzania pia haishiriki kombe la Dunia [emoji276]mtoa mada acha bangi
Kumbukumbu zinaniambia mwalimu Nyerere alizuia madini na gas kuchimbwa ili vizazi vya baadae baada ya kupata elimu mujaraab basi wanufaike na rasilimali hizo hivohivo na kwenye soka alikataza tusifike huko kombe la dunia mpaka vizazi vya baadae vijitambue ili kunufaika na mashindano hayo😂😂😂
 
Kila inchi ina vipaumbele vyake vya soka.
Mfano hata marekani wao zamani miaka ya 90 kurudi nyuma walijikita sana ktk Basketball, baseball,nk,.

Football ilikuwa sio favorite ya wamarekani wengi.

Hata India wao favorite yao ni mchezo wa Crickets.na sio football.

China wao hata sijuwi kipaumbele ni nn?.
Kung-fu mkuu
 
Kumbukumbu zinaniambia mwalimu Nyerere alizuia madini na gas kuchimbwa ili vizazi vya baadae baada ya kupata elimu mujaraab basi wanufaike na rasilimali hizo hivohivo na kwenye soka alikataza tusifike huko kombe la dunia mpaka vizazi vya baadae vijitambue ili kunufaika na mashindano hayo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kuokoa ndege alisema mpaka vije vizazi vya baadae wajifunze
 
Hbr za mchna

Naomba sababu Ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia

Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia uwanja wetu wa mkapa

Taifa Lina watu 2 bilion Kweli imeshindwa kutoa first elven Bora kabsa ili kuweza kupamban na mataifa mengine Kama USA , UK ,nk

Je tuseme hao wenzetu wao wako busy Sana kupambana na Hali ya uchumi na utafutaji tu

Safi Japan naona kila awamu mpo na mnaupiga mwingi sana
Duh... how informative
are you?
 
Hawajafuzu Waite waje kwenye Dauda bonanza
 
Wako busy na kazi...wanapeleka vyombo mwezini na kurusha satelaiti huku wakipiga mzigo

Mpira ni by the way...huwa hawavuki qualifiers
 
Kumbukumbu zinaniambia mwalimu Nyerere alizuia madini na gas kuchimbwa ili vizazi vya baadae baada ya kupata elimu mujaraab basi wanufaike na rasilimali hizo hivohivo na kwenye soka alikataza tusifike huko kombe la dunia mpaka vizazi vya baadae vijitambue ili kunufaika na mashindano hayo😂😂😂
Bora mzee wa watu angejilia tu mali za nchi kuliko alivyoangaikia hiki kizazi kisichojitambua
 
Nimecheka kama chizi, jamaa anaenda mpaka China wakati kuna mfano hapa hapa nchini kwake. Au hata angeuliza mbona East Africa Countries huwa hatushiriki!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapna siyo kwamb mtoa mada hajui sababu za Tanzania na na east Africa kutoshiriki anajuwa vzr yey anashangaa kutowaona mataifa hayo makubwa kwenye soka
 
Back
Top Bottom