Kama tano simba alizompiga utopoloAlichezea mkono kama Simba Ronaldho alidhalilisha watu
Varkish Dhorazoo nadhani ni muhindi alichezea PSGMchezaji gani star kutoka China au India anayekipiga klabu kubwa Ulaya? Japan najua kuna Tomiyasu
Mzeee unawadharau maboss zakoKanjibai na yale mavitambi yao kama mapipa ya gongo unadhani wanaweza kupiga ball kweli?
Hivi hii habari ilikua ni ya kweli?china ilifungiwa na fifa iliposhiriki mara ya mwisho kwa kuzidisha wachezaji uwanjani kutokana na mfanano wao! na kubadilishana bila mwamuz kujua na makosa mengine
Kanjibai alijua lini kukimbia, ni jamii ya watu waoga sana, mtishie tu kuwa wewe ni polisi ...atafungasha kwenye suruali kama kanywa wanzuki
π€£[emoji23]kanjibai katika u bora wake
ππππKwanini Tanzania pia haishiriki kombe la Dunia [emoji276]mtoa mada acha bangi
Akagongwa 4-0. Magoli yakiwa ya Roberto Carlos, Rivaldo, Ronaldinho na RonaldoChina [emoji630] aliparticipate kwenye world cup ya 2002 na alikuwa kundi moja na Brazil [emoji1054]
Sijajua kuhusu india ila China alipigwa ban mwaka 2002.
Wachina wanafanana mno ilikuwa wanabadilishana halftime inaingia timu mpya kabisa.
Waliposhtukiwa wakapigwa ban
Hii ni chai bhanaaaachina ilifungiwa na fifa iliposhiriki mara ya mwisho kwa kuzidisha wachezaji uwanjani kutokana na mfanano wao! na kubadilishana bila mwamuz kujua na makosa mengine
china ilifungiwa na fifa iliposhiriki mara ya mwisho kwa kuzidisha wachezaji uwanjani kutokana na mfanano wao! na kubadilishana bila mwamuz kujua na makosa mengine
Wahindi wako bize wanapiga Code ,wachina wako bize kujenga taifa lao,Hbr za mchna
Naomba sababu ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia
Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia uwanja wetu wa Mkapa
Taifa Lina watu 2 bilion Kweli imeshindwa kutoa first elven Bora kabisa ili kuweza kupambana na mataifa mengine Kama USA , UK ,nk
Je tuseme hao wenzetu wao wako busy Sana kupambana na Hali ya uchumi na utafutaji tu
Safi Japan naona kila awamu mpo na mnaupiga mwingi sana