Kwanini China na India huwa hawashiriki kombe la dunia?

Kwanini China na India huwa hawashiriki kombe la dunia?

India mchezo pendwa kwao ni cricket na wanaujua tofauti na mpira wa miguu.

China wamebobea kwenye riadha na kuhusu soka wanajitahidi kuwekeza na ndani ya miaka 20 ijayo watakuwa wapo vizuri.
 
China wana mchezo wao wa Kong Fu na Wahindi wana mchezo wa Kabadi, hii inawatosha.
 
Sijajua kuhusu india ila China alipigwa ban mwaka 2002.
Wachina wanafanana mno ilikuwa wanabadilishana halftime inaingia timu mpya kabisa.
Waliposhtukiwa wakapigwa ban
 
Sijajua kuhusu india ila China alipigwa ban mwaka 2002.
Wachina wanafanana mno ilikuwa wanabadilishana halftime inaingia timu mpya kabisa.
Waliposhtukiwa wakapigwa ban

Hii kitu ni kweli au fix zenu [emoji23][emoji23][emoji23] sasa jez si zina namba jamani
 
china ilifungiwa na fifa iliposhiriki mara ya mwisho kwa kuzidisha wachezaji uwanjani kutokana na mfanano wao! na kubadilishana bila mwamuz kujua na makosa mengine
Hii ni chai bhanaaaa
 
china ilifungiwa na fifa iliposhiriki mara ya mwisho kwa kuzidisha wachezaji uwanjani kutokana na mfanano wao! na kubadilishana bila mwamuz kujua na makosa mengine

Sio kuzidisha walibadili team nzima na kuingiza kikosi kingine halftime [emoji28]
 
Wako kwenye hatua za kiuwekezaji kwenye soka baada ya kumaliza maeneo mengine ,baada ya vifungo na fifa
 
Hbr za mchna

Naomba sababu ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia

Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia uwanja wetu wa Mkapa

Taifa Lina watu 2 bilion Kweli imeshindwa kutoa first elven Bora kabisa ili kuweza kupambana na mataifa mengine Kama USA , UK ,nk

Je tuseme hao wenzetu wao wako busy Sana kupambana na Hali ya uchumi na utafutaji tu

Safi Japan naona kila awamu mpo na mnaupiga mwingi sana
Wahindi wako bize wanapiga Code ,wachina wako bize kujenga taifa lao,
India ni world's best cricketers
China ni kitovu Cha kuchapa mkono ( karate)
Zote hizo ni michezo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom