Wanabadilishana hadi jeziHii kitu ni kweli au fix zenu [emoji23][emoji23][emoji23] sasa jez si zina namba jamani
Upo sawa. Walishiriki 2002 iliyofanyika South Korea na JapanChina walishiriki 2002 kama kumbukumbu zangu ziko vzr
Yes kama nakumbuka alikula kwa 4-0 kwa BrazilChina [emoji630] aliparticipate kwenye world cup ya 2002 na alikuwa kundi moja na Brazil [emoji1054]
Wakabadilisha wachezaji wote, wakapigwa marufukuChina walishiriki 2002 kama kumbukumbu zangu ziko vzr
Kumbee Kuna mdau mmoja nae kasema HV HV Sasa kina matola hawajui kuhusu hili MatolaSijajua kuhusu india ila China alipigwa ban mwaka 2002.
Wachina wanafanana mno ilikuwa wanabadilishana halftime inaingia timu mpya kabisa.
Waliposhtukiwa wakapigwa ban
kipindi icho Germany wana yule mikono mia, Oliver KahnAlichezea mkono kama Simba Ronaldho alidhalilisha watu
Sas unakuja kutukana watu humu je una akili kweli mtu kauliza lkn wee unakimbilia kukejeli mleta Uzi siyo sawaUnaandika umbea tu, jinga sana wakati unaweza ingia google ukajiridhisha kabla ya kuandika.
View attachment 2430546
UZUSHIWakabadilisha wachezaji wote, wakapigwa marufuku
Yani ulivyosema sijui USA!!! Nimekuhurumia sana. Mmh!! Ni kombe lipi la dunia unamaanisha mkuu???Hbr za mchna
Naomba sababu ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia
Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia uwanja wetu wa Mkapa
Taifa Lina watu 2 bilion Kweli imeshindwa kutoa first elven Bora kabisa ili kuweza kupambana na mataifa mengine Kama USA , UK ,nk
Je tuseme hao wenzetu wao wako busy Sana kupambana na Hali ya uchumi na utafutaji tu
Safi Japan naona kila awamu mpo na mnaupiga mwingi sana