Kwanini China na India huwa hawashiriki kombe la dunia?

Kwanini China na India huwa hawashiriki kombe la dunia?

Kabla hujaandika uwe unajiridhisha kwanza,sio unakurupuka kama chafya[emoji1745]
 
Sijajua kuhusu india ila China alipigwa ban mwaka 2002.
Wachina wanafanana mno ilikuwa wanabadilishana halftime inaingia timu mpya kabisa.
Waliposhtukiwa wakapigwa ban
Kumbee Kuna mdau mmoja nae kasema HV HV Sasa kina matola hawajui kuhusu hili Matola
 
Hbr za mchna

Naomba sababu ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia

Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia uwanja wetu wa Mkapa

Taifa Lina watu 2 bilion Kweli imeshindwa kutoa first elven Bora kabisa ili kuweza kupambana na mataifa mengine Kama USA , UK ,nk

Je tuseme hao wenzetu wao wako busy Sana kupambana na Hali ya uchumi na utafutaji tu

Safi Japan naona kila awamu mpo na mnaupiga mwingi sana
Yani ulivyosema sijui USA!!! Nimekuhurumia sana. Mmh!! Ni kombe lipi la dunia unamaanisha mkuu???
 
Back
Top Bottom