Kwanini Chips za Vibandani ni tamu kuliko zile tunazopika nyumbani?

Kwanini Chips za Vibandani ni tamu kuliko zile tunazopika nyumbani?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Nauliza tu maana nimetoka kula Chips za home lakini ukilinganisha na zile ambazo zinakuja kwenye foil na mitaani zinakuwaga tamu balaa na hata mpishi mwenyewe aliyepika anasema kabisa zile za mtaani zinakuwa bomba sana

Nimekula Chips za Nyumbani na nimekula Chips za vibandani lakini mara nyingi hizi za vibandani zinakuwa tamu zaidi kuliko zile ambazo zinapikwa nyumbani. Hii ni kwangu tu na wengine pia ni hivi hivi?

Viungo ni vile vile lakini na viazi vinakuwa vilevile nini zinafanya hizi za mtaani zinakuwa tamu zaidi?

chips.jpg
 
Harufu ya yale makarai.. same mihogo yaani inshort chombo kile kinatumika daily so automatically kinatoa hio harufu...so inshort sio utamu unakuchanganya ni harufu

Kama kuna ukweli hapa
 
Kwa hiyo huyo anayepika kibandani siku akipika nyumbani kwake zinakuwa siyo tamu??

Jibu liko hapo!!
 
Kumbe kuna majamaa mnakula chips nikajua ni za wanawake tu
Screenshot_2026-07-09_133038.jpg
 
Back
Top Bottom