Kwanini chuo cha ESAMI kina ada kubwa sana?

Wakuu naomba kufahamu sababu zinazofanya chuo tajwa kuwa na ada Kubwa namna hiyo?

Ada pekee kwa Masters program inatozwa 16 milioni!
Labda nature ya wanafunzi wanaosoma hapo, rafiki yangu mmoja alisoma hapo.. Ananiambia walikuwa 24 tu kwenye darasa lao. Wawili tu, yeye na mwenzio ndio walikuwa waTz
au wa asili ya Tz.

Na wengi walikua wametoka makazini, mfano yeye alitoka moja ya agency za UN.. Unaona sasa?
 
Ni international college hiyo.

Waalimu wa Kimataifa, leo anakipindi South Africa keshokutwa anakipindi Uganda kesho yake Arusha nk.

Huduma kama Steshenari nyingi ni Free of Charge.

Chakula standard kabisa free kutwa mala tatu.
Malazi ndio bora zaidi ila unalipia nje ya hiyo 16.
Huduma nyingine zote ni standard.

Kinakaribia kufanana na MWEKA cha wanyamapori.
 
Kama Ni hivyo sawa
 
Huwezi kifananisha na jalala hasilani, wahitimu wa PhD hawajatia aibu mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…