Kwanini chuo cha ESAMI kina ada kubwa sana?

Dah!... Cha kimataifa kabisa

Kiasi fulani ni cha kimataifa. Lkn mimi binafsi naona bado hakijakidhi kuwa cha kimataifa, kwa sababu wanafunzi wote wanatoka ukanda huu wa Afrika, kama jina la chuo lilivyo. Hakina International students wanaotoka outside the region.
 
Hawazingui research Kama vyuo vingine
 
Huyo mwenzake alikuwa ni mimi. Maana nakumbuka tulikuwa wawili tu kweli.
 
Pale wanauza vyeti vya masters! Executive mode wanasima saa1800-2100 non stop na test Huwa hawafanyi.

Kama una hela unaenda kununua cheti pale.
 
Sidhani Kama ni kweli wana ada kubwa kwa tanzania vyuo vya ada kubwa kwa social science ni hivi
Nelson mandela arusha
Esami
Vinafata kozi za afya kwa level ya masters na PhD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…