Kwanini Cloutus Chota Chama huwa ha-shine Simba inapocheza na Yanga?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida.

Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga.

Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa.

Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!?

Hamsa!
 
Ni kama wachezaji wa yanga wanavyokuwa mdebwedo kwa IHEFU
 
Hapa namwomba jamaa yangu Lupweko atupe sababu huwa yupo na Nondo nzuri sana.
 
Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida.

Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga.

Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa.

Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!?

Hamsa!

Si inapocheza na yanga tu, chama ana thrive kwa team inayomiliki mpira. Kama team haina mpira humuoni.
 
Chama ni mchezaji mzuri mnoo timu ikiwa na umiliki wa mpira kwa asilimia kubwa. Chama kaisha shine game kibao kubwa, si vita, si kaizer chief, si yanga anakufa 4.

Shida kubwa inaanzia kwa simba kiujumla tunacheza pira boovu kupitiliza.
Chama yule yule acheze pale yanga na viungo wale, ball linakuwa kwake muda wote, akimpa huyu, kafungua anampa yule, chama ni wa moto mnoo.

Simba tuna shida kubwa ya viungo.
 
Viungo tena kaka c mlimuiba airport kiungo fundi na mkatamba sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unahisi ngoma ndio wa kumaliza tatizo hapo pekee yake? Utakuwa namba 6 nzuri kama 8 na 10 wabovu?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom