Kwanini Cloutus Chota Chama huwa ha-shine Simba inapocheza na Yanga?

Kwanini Cloutus Chota Chama huwa ha-shine Simba inapocheza na Yanga?

ccc historia inambeba. Ana historia nzuri sana ila ifike wakati Simba tuwe na damu mpya hatari. Hichi kikosi kimeshafanya mengi kulazimisha kiendelee kufanya mengi ni kukionea. Kina chama na wenzake wanapaswa kuwa Sub.
 
Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida.

Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga.

Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa.

Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!?

Hamsa
Sikujua kumbe hata wanasheria "Wasomi", they have their dark side.

Naona umekuwa mpiga ramli Sasa msomi!😃😃

Simba jitahidini kutulia mkae sawa kwanza, mtakosea zaidi.
 
Back
Top Bottom