Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Spidi spidi viungo yanga wanateleza mzeeImetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida.
Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga.
Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa.
Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!?
Hamsa!
Kama nyoka pangoniSpidi spidi viungo yanga wanateleza mzee
Ni kama wachezaji wa yanga wanavyokuwa mdebwedo kwa IHEFUImetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida.
Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga.
Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa.
Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!?
Hamsa!
Ni kama wachezaji wa yanga wanavyokuwa mdebwedo kwa IHEFUImetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida.
Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga.
Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa.
Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!?
Hamsa!
Ukitaka kujua magoli matano ni mengi yageuze kuwa GPA
Hapa namwomba jamaa yangu Lupweko atupe sababu huwa yupo na Nondo nzuri sana.Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida.
Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga.
Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa.
Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!?
Hamsa!
Ihefu hua ni mtego kaeni hivyo hivyoNi kama wachezaji wa yanga wanavyokuwa mdebwedo kwa IHEFU
Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida.
Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga.
Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa.
Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!?
Hamsa!
Viungo tena kaka c mlimuiba airport kiungo fundi na mkatamba sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chama ni mchezaji mzuri mnoo timu ikiwa na umiliki wa mpira kwa asilimia kubwa. Chama kaisha shine game kibao kubwa, si vita, si kaizer chief, si yanga anakufa 4.
Shida kubwa inaanzia kwa simba kiujumla tunacheza pira boovu kupitiliza.
Chama yule yule acheze pale yanga na viungo wale, ball linakuwa kwake muda wote, akimpa huyu, kafungua anampa yule, chama ni wa moto mnoo.
Simba tuna shida kubwa ya viungo.
Unahisi ngoma ndio wa kumaliza tatizo hapo pekee yake? Utakuwa namba 6 nzuri kama 8 na 10 wabovu?Viungo tena kaka c mlimuiba airport kiungo fundi na mkatamba sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]