Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 17,022 Reaction score 36,936 Nov 6, 2023 #21 ccc historia inambeba. Ana historia nzuri sana ila ifike wakati Simba tuwe na damu mpya hatari. Hichi kikosi kimeshafanya mengi kulazimisha kiendelee kufanya mengi ni kukionea. Kina chama na wenzake wanapaswa kuwa Sub.
ccc historia inambeba. Ana historia nzuri sana ila ifike wakati Simba tuwe na damu mpya hatari. Hichi kikosi kimeshafanya mengi kulazimisha kiendelee kufanya mengi ni kukionea. Kina chama na wenzake wanapaswa kuwa Sub.
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 17,022 Reaction score 36,936 Nov 6, 2023 #22 mkushi wa kushi said: Viungo tena kaka c mlimuiba airport kiungo fundi na mkatamba sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Ngoma ni mchezaji mzuri. Kutufunga 5 hakufuti hilo.
mkushi wa kushi said: Viungo tena kaka c mlimuiba airport kiungo fundi na mkatamba sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Ngoma ni mchezaji mzuri. Kutufunga 5 hakufuti hilo.
A ANTDOTE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2023 Posts 216 Reaction score 609 Nov 6, 2023 #23 Petro E. Mselewa said: Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida. Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga. Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa. Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!? Hamsa Click to expand... Sikujua kumbe hata wanasheria "Wasomi", they have their dark side. Naona umekuwa mpiga ramli Sasa msomi!😃😃 Simba jitahidini kutulia mkae sawa kwanza, mtakosea zaidi.
Petro E. Mselewa said: Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida. Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga. Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa. Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!? Hamsa Click to expand... Sikujua kumbe hata wanasheria "Wasomi", they have their dark side. Naona umekuwa mpiga ramli Sasa msomi!😃😃 Simba jitahidini kutulia mkae sawa kwanza, mtakosea zaidi.