Kwanini Comedians wa MIZENGWE wanapotezewa sana?

Hivi Masele bado yupo? Jamaa nilikuwa namkubali sana uchekeshaji wake.
 
Umenena mkuu[emoji818]
 
Sasa kama huangalii, umejuaje kuwa wanahitaji kujifunza kwa hao uliowataja? Na haitwi Kelvn Hart, ni Kevin Hart.
Hahaha....hilo swali akijibu vizuri unicall Bablai !!!

Huyo Chaplain mwenyewe sijui ni yupi na sio Chaplin.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Namba tano nimeipenda sana mkuu[emoji106] [emoji106]
 
Sasa kama huangalii, umejuaje kuwa wanahitaji kujifunza kwa hao uliowataja? Na haitwi Kelvn Hart, ni Kevin Hart.
Na ajue sio kila kitu lazima ufanye kama fulani wa kimataifa hizo ndo komedi asilia zinazungumzia uhalisi wa bongo kwa mfumo wa vichekesho tatizo watu wakishaona vya wenzetu akili inafungiwa huko kumbadilisha ni kazi Mr bean na champlin wanachekesha lakini vingi ni vituko na uhalisi kwa maisha yetu ni kidogo
 
Nampendaga yule babu wao, daah! Ananifurahisha saaana.
 
jamaa wako poa sana, nampenda malingo 7
 
My best Comedy show in Africa...jamaa wanajua saaanaaa.
 
Bila unafiki bongo maisha hayaendi
 
acha ulimbukeni mizengwe wapo vizuri. kwanza sio chaplain=chaplin.sasa huyo kevin hart anachekesha nini zaidi ya makelele na kurukaruka ? bora chriss rock
 
Kwani Lazima kuiga kila kitu? Sababu Mr Bean kafanya vile imekua sheria kwamba hata wachekeshaji wabongo waige? Halafu Mr Bean ni vitendo wakati Hart ni maneno huoni kwamba unaji contradict mwenyewe vipi watu wasioelewa lugha anayotumia Hart(English). Unajidai wa mbele wakati unaishi Ombokoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…