Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
kama mimiMzee sumaku ana vimaneno vyake huwa navikubal..hapa bongo comedy nazo angalia ni hyo na mamb na vijambo baas
Hv hawa wasanii huwa wanakuwa funded vipi ? Wanalipua kisa mtaji sasa mitaji inapatikana vp ?Ukisoma vizuri nilichoeleza kama tatizo ndicho kinachotakiwa kurekebishwa.
Wajipe muda wa kutosha kuandaa kazi zao, wafanye mazoezi ya kutosha (rehearsal), Waboreshe production...huwezi kuniambia hata tu kubadili costume ili kuashiria scene ni ya siku nyingine inahitaji ushauri wa Watu wengine ili hali wao ni Wasanii wa muda mrefu.
Mtu yoyote ukifuatilia michezo yao unagundua kabisa 'wanalipua' kwa maana ya production na muda...au basi watuambie changamoto zinazowakabili ili tuelewe kabisa, otherwise ni ngumu sana kuwaelewa tatizo lao ni nini.
hakuna comedians wakali bongo kama hawa jamaa, kiukweli huwa nasikitika sana ninapokosa kipindi chao. Tatizo watakuwa hawana team yenye nguvu nyuma yao maana siunajua sanaa ya bongo,,,kipaji siyo issue, wanaangalia nani yuko nyuma yako.Habarini Wadau,
Mbona waigizaji wa Mizengwe ni wazuri sana na wana vipaji ila hawapewi recognition sana kama comedians wengine?
Japo kipindi chao cha jumapili kinachorushwa na ITV ni kifupi ila watu kama SUMAKU, MKWERE, MARINGO 7 na wengineo ni waigizaji wazuri kweli, haswa Sumaku.
Pia michezo yao ina mafunzo kwa jamii.
Kwanini wanasahaulika?
Kidogo nimtukane uyu mtu..Sasa kama huangalii, umejuaje kuwa wanahitaji kujifunza kwa hao uliowataja? Na haitwi Kelvn Hart, ni Kevin Hart.
Kama ni nyoka hapa umempiga kichwani yanakera sana mambo haya ujuaji mwingi wakati hajui kitu Safi sana ndugu.Sasa kama huangalii, umejuaje kuwa wanahitaji kujifunza kwa hao uliowataja? Na haitwi Kelvn Hart, ni Kevin Hart.
Hiyo namba tanoMajibu yake ni marahisi kama siyo mepesi sana Mkuu....
Hawa ' Jamaa '....
- Hawajui ' kujipendekeza ' wala ' kujikomba ' kwa Mtu na hawaendekezi sana ' njaa '.
- Wanapambana sana na kujituma mno wenyewe.
- Hawataki kujihusisha na kuwa ' mabegi ' ya Drugs barons wa Tanzania kama wanavyofanyiwa wengine.
- Wanaridhika na kumshukuru Mwenyezi Mungu sana kwa chochote kile anachowapa kwa ' Jasho ' lao na kamwe hawapendi ' magumashi ' kama wenzao wengi.
- Tungo zao nyingi tena 100% ni za ukweli mtupu na usisahau kuwa 100% ya Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli.
Umetumia akili nyingi sana mkuu! Heshima kwako!Majibu yake ni marahisi kama siyo mepesi sana Mkuu....
Hawa ' Jamaa '....
- Hawajui ' kujipendekeza ' wala ' kujikomba ' kwa Mtu na hawaendekezi sana ' njaa '.
- Wanapambana sana na kujituma mno wenyewe.
- Hawataki kujihusisha na kuwa ' mabegi ' ya Drugs barons wa Tanzania kama wanavyofanyiwa wengine.
- Wanaridhika na kumshukuru Mwenyezi Mungu sana kwa chochote kile anachowapa kwa ' Jasho ' lao na kamwe hawapendi ' magumashi ' kama wenzao wengi.
- Tungo zao nyingi tena 100% ni za ukweli mtupu na usisahau kuwa 100% ya Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli.
Hivi umeshindwa kabisa kupunguza usengele wako walau kidogo!Hiyo namba tano
Ni janga had I kwa cdm
Anaitwa MatataNampendaga yule babu wao, daah! Ananifurahisha saaana.
Anaitwa MatataNampendaga yule babu wao, daah! Ananifurahisha saaana.