Kwanini Comedians wa MIZENGWE wanapotezewa sana?

Kwanini Comedians wa MIZENGWE wanapotezewa sana?

Ukisoma vizuri nilichoeleza kama tatizo ndicho kinachotakiwa kurekebishwa.

Wajipe muda wa kutosha kuandaa kazi zao, wafanye mazoezi ya kutosha (rehearsal), Waboreshe production...huwezi kuniambia hata tu kubadili costume ili kuashiria scene ni ya siku nyingine inahitaji ushauri wa Watu wengine ili hali wao ni Wasanii wa muda mrefu.

Mtu yoyote ukifuatilia michezo yao unagundua kabisa 'wanalipua' kwa maana ya production na muda...au basi watuambie changamoto zinazowakabili ili tuelewe kabisa, otherwise ni ngumu sana kuwaelewa tatizo lao ni nini.
Hv hawa wasanii huwa wanakuwa funded vipi ? Wanalipua kisa mtaji sasa mitaji inapatikana vp ?
 
Kuwachekesha watanzania kipindi hiki cha Magufuli inabidi wafanye kazi ya ziada
 
Habarini Wadau,

Mbona waigizaji wa Mizengwe ni wazuri sana na wana vipaji ila hawapewi recognition sana kama comedians wengine?

Japo kipindi chao cha jumapili kinachorushwa na ITV ni kifupi ila watu kama SUMAKU, MKWERE, MARINGO 7 na wengineo ni waigizaji wazuri kweli, haswa Sumaku.

Pia michezo yao ina mafunzo kwa jamii.

Kwanini wanasahaulika?
hakuna comedians wakali bongo kama hawa jamaa, kiukweli huwa nasikitika sana ninapokosa kipindi chao. Tatizo watakuwa hawana team yenye nguvu nyuma yao maana siunajua sanaa ya bongo,,,kipaji siyo issue, wanaangalia nani yuko nyuma yako.
 
Majibu yake ni marahisi kama siyo mepesi sana Mkuu....

Hawa ' Jamaa '....

  1. Hawajui ' kujipendekeza ' wala ' kujikomba ' kwa Mtu na hawaendekezi sana ' njaa '.
  2. Wanapambana sana na kujituma mno wenyewe.
  3. Hawataki kujihusisha na kuwa ' mabegi ' ya Drugs barons wa Tanzania kama wanavyofanyiwa wengine.
  4. Wanaridhika na kumshukuru Mwenyezi Mungu sana kwa chochote kile anachowapa kwa ' Jasho ' lao na kamwe hawapendi ' magumashi ' kama wenzao wengi.
  5. Tungo zao nyingi tena 100% ni za ukweli mtupu na usisahau kuwa 100% ya Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli.
Hiyo namba tano

Ni janga had I kwa cdm
 
Umetumia akili nyingi sana mkuu! Heshima kwako!
 
aisee mizengwe habari ingine! hapana kitu kizuri bila kasoro...ila hawa jamaa wapeni sifa zao!..hapana komedi ingne nacheki zaidi ya MIZENGWE!....wabunifu,maisha ya uhalisia ya kitz,lugha inaeleweka hata ukiwa na familia unachek!..Binafsi siruhusu wanangu kucheki komedi ya EATV,TBC ya kina joti!.....Maringo 7,,,kina babu,mkwere HONGERENI
 
mizengwe wapo vizuri sana-tangu mwanzoni hawana mpinzani,wamejitahidi sana maintain status yao.wangepata support na airtime ya kutosha naamin wangekuwa mbali sana hawa jamaa.Kila jumapili lazima niwachek
 
Back
Top Bottom