Kwanini Comedians wa MIZENGWE wanapotezewa sana?

Sasa kama huangalii, umejuaje kuwa wanahitaji kujifunza kwa hao uliowataja? Na haitwi Kelvn Hart, ni Kevin Hart.
Usishangae mkuu wabongo wanajifanya wa mbele sana na hupenda kukana wanayoyafanya. Hivi ushawahi kujiuliza kwanini mawingu redio inakimbiza sana mpaka sasa wakati watu humu wengi hudai kwamba hawaisikilizi?
 
Ile ya kina Chaplin ni aina mojawapo ya komedi inaitwa katuni. Sasa kuna wajinga wajinga wakishaona kitu cha mbele wanarukwa akili. Ni ushamba na ujinga fulani hivi wa kuabudu umbele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…