Kwanini Comedians wa MIZENGWE wanapotezewa sana?

Kwanini Comedians wa MIZENGWE wanapotezewa sana?

Sasa kama huangalii, umejuaje kuwa wanahitaji kujifunza kwa hao uliowataja? Na haitwi Kelvn Hart, ni Kevin Hart.
Usishangae mkuu wabongo wanajifanya wa mbele sana na hupenda kukana wanayoyafanya. Hivi ushawahi kujiuliza kwanini mawingu redio inakimbiza sana mpaka sasa wakati watu humu wengi hudai kwamba hawaisikilizi?
 
Na ajue sio kila kitu lazima ufanye kama fulani wa kimataifa hizo ndo komedi asilia zinazungumzia uhalisi wa bongo kwa mfumo wa vichekesho tatizo watu wakishaona vya wenzetu akili inafungiwa huko kumbadilisha ni kazi Mr bean na champlin wanachekesha lakini vingi ni vituko na uhalisi kwa maisha yetu ni kidogo
Ile ya kina Chaplin ni aina mojawapo ya komedi inaitwa katuni. Sasa kuna wajinga wajinga wakishaona kitu cha mbele wanarukwa akili. Ni ushamba na ujinga fulani hivi wa kuabudu umbele!
 
Back
Top Bottom