Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeongea vyema. nafikiri wanaye meneja wao. hawa kwa aina ya uigizaji wao wangeweza kuwa na venue ya kuperform kila week na hata kuzunguka mikoani.Ni vizuri kusikia wanafuatiliwa kwani hata mimi nimfuatiliaji ndio maana nimeona niainishe yale ninayodhani ni mapungufu yanayoonekana wazi yapo ndani ya uwezo wao iwapo tu watatulia.
Na ningetamani nione wamekuwa wakubwa na kujulikana mbali kuliko ilivyo sasa.
Wasijifungie tu na kukubali sifa za kuwa wao hawajishughulishi kutafuta umaarufu/audience...sio sifa nzuri hata kidogo hiyo..asikwambie Mtu msanii yeyote moja ya sifa yake kuu ni kujulikana/kupendwa na kuwa midomoni mwa Watu wengi kadri inavyowezekana, na hilo ni jukumu lao na si la mwingine yeyote kwani hata manufaa watakayopata yatabaki kuwa ni ya kwao.
Walau mpo mnaonielewa, ni bora kuwa na wachache wanaoelewa kuliko kupotosha wengi.umeongea vyema. nafikiri wanaye meneja wao. hawa kwa aina ya uigizaji wao wangeweza kuwa na venue ya kuperform kila week na hata kuzunguka mikoani.
Sijui wanafanyaje kazi na ITV, lakini kamwe sivutiwi na uduni wa production kwa Watu waliopo kwenye fani miaka kumi sasa au zaidi...wapambane wasibweteke.Hv hawa wasanii huwa wanakuwa funded vipi ? Wanalipua kisa mtaji sasa mitaji inapatikana vp ?
Huna lolote ndugu, Mtu akipingana na unachoamini wewe unatukana hovyo, iwapi busara kwako?Sioni kwanini nipoteze muda na Wewe wakati hata ID yako tu inatosha kueleza kuwa hata nifanyeje huwezi kunielewa hasa ukizingatia kuwa Wewe ni ' fyatu ' kweli.
Huna lolote ndugu, Mtu akipingana na unachoamini wewe unatukana hovyo, iwapi busara kwako?
Mzee wa SENEGAL.Mzee sumaku
Ana maneno sana yule mzeeMzee wa SENEGAL.
Yupo vizuri sana.Ana maneno sana yule mzee
Siku hizi mama kimario ananipa raha sanaHata mimi nawakubal sana
Mama kimario si ndio SAFINA? 😀😀😀😀😀😀Siku hizi mama kimario ananipa raha sana
katika ulimwengu wa sasa msanii asipowekeza kwenye platifomu ya social media hufiki popote,nguvu ya mitandao ya kijamii ni kubwa sana,bahati mbaya wale wa mizengwe siwaoni mitandaoni kabisaaaHabarini Wadau,
Mbona waigizaji wa Mizengwe ni wazuri sana na wana vipaji ila hawapewi recognition sana kama comedians wengine?
Japo kipindi chao cha jumapili kinachorushwa na ITV ni kifupi ila watu kama SUMAKU, MKWERE, MARINGO 7 na wengineo ni waigizaji wazuri kweli, haswa Sumaku.
Pia michezo yao ina mafunzo kwa jamii.
Kwanini wanasahaulika?
Huyo Kelvin Hart anachekesha kwa kutumia nini kama siyo maneno?Kwani tanzania kuna Comedian?
hahaaaaa wajifunze kwa wenzao basi
sio kuchekesha maneno bali vitendo. kama maneno kwa asiejua lugha hiyo je?
hawaoni wanavochekeaha wenzao kina Mr Bean kina Chaplain au Kelvn Hart...
ndomaana me siangaliagi utumbo huo wa Mizengwe nk.