Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
P16 Gen yangapi?umemaliza....
kuna ile lenovo P16 ina 4TB SSD kabisa, ila inauzwa >25m😂
tutafute hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P16 Gen yangapi?umemaliza....
kuna ile lenovo P16 ina 4TB SSD kabisa, ila inauzwa >25m😂
tutafute hela
Kwa mabundle haya haya ya tigo au kuna mengine?Siku hizi storage sio tena kwenye device, hiyo ni impact ya digital cloud service. Movie zipo online streaming, hamana haja ya kudownload, music ipo online streaming pia, document zipo google drive etc.
Games sahivi watu wana play online. Hamna haja ya kudownlaod etc.
Pia Internet imekua affordable na availability ipo juu sana. Sasa hamna tofauti kati ya kuwa na kitu kwenye HDD au cloud
Hela yako tu zipo computer hadi zina 1TB.. ila bei yake sasa ni 🔥🔥Wadau najiuliza kwann siku izi computer nyingi unakuta storage yake ni 256 yaan imekuwa common
Unakuta mashine ina processor kubwa ila storage ndogo.
Watalaam naomba mnijuze
Nimeshangaa alliepress ssd za 1tb haizidi laki moja.Kwa hoja za wadau zamani ni kweli ssd zilikua Ghali, ila kama mwaka sasa hivi zimeshuka bei sana, kawaida kupata 1TB ssd kwa around $30 mpaka $40 hivyo hakuna Excuse kwa laptop za bei kuja na 256GB.
Utofauti upo Online & Offline kuna bando kukata au mtandao ku buffers lakini kama ume download huwazi... Mfano huwezi kusema eti "kwa vile maji yanatoka kwenye bomba masaa 24/7 nyumbani kwangu basi haina haja kujaza maji kwenye mapipa au simtank ntakua nakinga moja kwa moja bombani ndo natumia" hapo utakua unajitekenya na kujicheka mwenyewe..Siku hizi storage sio tena kwenye device, hiyo ni impact ya digital cloud service. Movie zipo online streaming, hamana haja ya kudownload, music ipo online streaming pia, document zipo google drive etc.
Games sahivi watu wana play online. Hamna haja ya kudownlaod etc.
Pia Internet imekua affordable na availability ipo juu sana. Sasa hamna tofauti kati ya kuwa na kitu kwenye HDD au cloud
SSD zinategemea kiasi gani cha data unachoandika nakuzifuta, na ndio kitadetermine lifespan yake, sio kama HDD, afu tafta namna yakufanya manual recovery ya data kwenye SSD kama utaipata kama ilivyo kwa HDD, fanya research afu uje nitakujibu, usiangalie tu umekaa na SSD kwa muda gani, pia angalia unawrite na kufuta data mara ngapi kwenye SSD, ni very horrible.Labda yako / utunzaji wako mkuu. Nina SSD Sandisk 2TB, na mpango wa kuongeza ingine 1. Nikikwambia ina muda gani na inavodunda utashangaa.
Wadau najiuliza kwann siku izi computer nyingi unakuta storage yake ni 256 yaan imekuwa common
Unakuta mashine ina processor kubwa ila storage ndogo.
Watalaam naomba mnijuze
Mkuu, wewe ndio leo nakusikia kuwa life span ya hizi SSD zinategemea kiasi cha data. Naweza kuwa sina utaalamu huo sana, ila tu nikwambie hizi storage devices zinategemea na utunzaji wako na matumizi yako.SSD zinategemea kiasi gani cha data unachoandika nakuzifuta, na ndio kitadetermine lifespan yake, sio kama HDD, afu tafta namna yakufanya manual recovery ya data kwenye SSD kama utaipata kama ilivyo kwa HDD, fanya research afu uje nitakujibu, usiangalie tu umekaa na SSD kwa muda gani, pia angalia unawrite na kufuta data mara ngapi kwenye SSD, ni very horrible.
kwenye ssd kuna hivi vitu Slc, Mlc, Tlc, Qlc hio herufi ya mwanzo inamaanisha Single, Multi, Tri na Quad, yaani idadi ya bit kwenye kila seli. Kuanzia single kwenda Quad jinsi bit zinavyokua nyingi kwenye seli ndio jinsi ssd inavyokua na maisha mafupi ndio jinsi bei inavyokua rahisi.Mkuu, wewe ndio leo nakusikia kuwa life span ya hizi SSD zinategemea kiasi cha data. Naweza kuwa sina utaalamu huo sana, ila tu nikwambie hizi storage devices zinategemea na utunzaji wako na matumizi yako.
Sina mitikasi ya kusema nawrite na kufuta kila mara, mimi matumizi na store data tu na kuangalia movies sometimes, toka nmenunua SSD nime experience vitu vipya na vizuri kulinganisha na hizi HDD na nina HDD ambazo ziliharibika mapema sana kuzidi hata hizi SSD.
Ila nitafatilia hiki usemacho, ila HDD haziingii kwa SSD kivyovyote, hata life span sina uhakika ila siwezi kukupinga pia
Maelezo yameshiba kabisa mkuu, upande huu wewe ni guru kabisa mkuu. Kudoskwenye ssd kuna hivi vitu Slc, Mlc, Tlc, Qlc hio herufi ya mwanzo inamaanisha Single, Multi, Tri na Quad, yaani idadi ya bit kwenye kila seli. Kuanzia single kwenda Quad jinsi bit zinavyokua nyingi kwenye seli ndio jinsi ssd inavyokua na maisha mafupi ndio jinsi bei inavyokua rahisi.
Slc na Mlc mara nyingi zinatumika kwenye enterprise vitu servers na mambo mengine.
Tlc na Qlc ndio tunazotumia sisi wateja wa kawaida. View attachment 2721110
Sema Cycle 1000 still ni kubwa, ukinunua ssd ya 1TB ina maana ufute na kuweka vitu vya 1TB mara 1000 ndio inaanza kufa sio leo.
Hata kila siku ukifuta itachukua miaka 3.