Sio lazima ziwe tatu. Aina zingine hukaa zaidi ya tatu. Ni maamuzi ya watengenezaji tu lakini nafikiri imebainika kuwa wastani wa bao kwa kipindi kimoja ni tatu.
Siyo kondom peke..Mara nyingi huwa najiuliza kwanini condoms zipo tatu.
Siyo kondom peke..
1. Piga hodi x 3
2. most dawaz ni kutwa x 3
3. Yesu alifufuka siku ya 3
4. Enzi zetu UDSM kufeli masomo matatu unadisco
5. FM academia nao SAMAKI ANA VIPANDE VINGAPIII..??
6. Kwenye footbal kadi mbili za njano unapewa ya tatu nyekundu
7. Kwenye mpira hapo zamani kona tatu mfululizo zinazaa penati moja
Hakunaga kondom za vibamia...!!! Ahahahahahahaami ndo vitu vilishanishinda kutumia,sijawahi pata size yangu I don't know why
Hakunaga kondom za vibamia...!!! Ahahahahahahaa
Nunua hizi hapa ukome...
Inatakiwa Upige tatu hata dozi unaona zinakuwa x3.Mara nyingi huwa najiuliza kwanini condoms zipo tatu.
Mkuu hizo zinakomesha kivipi?
Duh!jamaa alienda kwa doctor amenyong'onyeaHakunaga kondom za vibamia...!!! Ahahahahahahaa