Kwanini condoms zinakaa tatu?

Kwanini condoms zinakaa tatu?

Hahahaha..Kama napiga kumi je????
Nunua hizi hapa ukome...

original.jpg
 
Sio lazima ziwe tatu. Aina zingine hukaa zaidi ya tatu. Ni maamuzi ya watengenezaji tu lakini nafikiri imebainika kuwa wastani wa bao kwa kipindi kimoja ni tatu.

Kwa umri gani?
 
Mara nyingi huwa najiuliza kwanini condoms zipo tatu.
Siyo kondom peke..
1. Piga hodi x 3
2. most dawaz ni kutwa x 3
3. Yesu alifufuka siku ya 3
4. Enzi zetu UDSM kufeli masomo matatu unadisco
5. FM academia nao SAMAKI ANA VIPANDE VINGAPIII..??
6. Kwenye footbal kadi mbili za njano unapewa ya tatu nyekundu
7. Kwenye mpira hapo zamani kona tatu mfululizo zinazaa penati moja
 
Siyo kondom peke..
1. Piga hodi x 3
2. most dawaz ni kutwa x 3
3. Yesu alifufuka siku ya 3
4. Enzi zetu UDSM kufeli masomo matatu unadisco
5. FM academia nao SAMAKI ANA VIPANDE VINGAPIII..??
6. Kwenye footbal kadi mbili za njano unapewa ya tatu nyekundu
7. Kwenye mpira hapo zamani kona tatu mfululizo zinazaa penati moja

Umeua mkuu
 
mi ndo vitu vilishanishinda kutumia,sijawahi pata size yangu I don't know why
 
Mtoa Hoja Karogwa Tena.
Mimi Binafsi Nakupa Polee.
Mtoa Hoja Kama Tatu Hazikutoshi Tumia Malaironi Ya Kutosha.
 
Hakunaga kondom za vibamia...!!! Ahahahahahahaa
Duh!jamaa alienda kwa doctor amenyong'onyea
Doc:vipi
Mgonjwa:doctor naumwa
Doc:nini?
Mgonjwa:lakini usinicheke
Doc:maadili yetu hatuna ruhusa kumcheka mgonjwa
Mgonjwa:akavua suruali ana kibamia ukubwa wake ni battery ya remote
Doc:akacheka sana kisha akamuuliza ehe sasa unaumwaje?
Mgonjwa:imevimba.
 
Back
Top Bottom