Kwanini condoms zinakaa tatu?

Kwanini condoms zinakaa tatu?

Siyo kondom peke..
1. Piga hodi x 3
2. most dawaz ni kutwa x 3
3. Yesu alifufuka siku ya 3
4. Enzi zetu UDSM kufeli masomo matatu unadisco
5. FM academia nao SAMAKI ANA VIPANDE VINGAPIII..??
6. Kwenye footbal kadi mbili za njano unapewa ya tatu nyekundu
7. Kwenye mpira hapo zamani kona tatu mfululizo zinazaa penati moja

8. Mechi ya mpira ukifunga goli 3 unapewa mpira uondoke nao
9. Kuna kitu kwenye ukiristo kinaitwa Utatu Mtakatifu
10. Uchaguzi TZ Bara kuna masanduku 3; Urais, Ubunge na Udiwani
 
Mara nyingi huwa najiuliza kwanini condoms zipo tatu.

condoms zina packaging za aina mbili
kwanza (mchepuko): zinakaa tatu. maana yake ni kwa matumizi ya wasafir au short timer
pili(main road): family package. hizi zinakaa 10+

kwa waliooa na kukaa na mwenzie zaid ya mwaka mmoja watanielewa zaid
 
Back
Top Bottom