Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kuna hoja kuwa shirikisho la soka la Amerika ya Kusini (CONMEBOL) waliandaa michuano ya Copa America mara nne katika kipindi cha miaka sita kinyume na utaratibu ili tu mchezaji fulani aweze kushinda kombe akiwa na timu yake ya taifa.
Kwakawaida, Copa America huwa inafanyika kila baada ya miaka minne. Lakini katika hali ya kushangaza ikafanyika mwaka 2015, 2016, 2019 na mwaka 2021.
Mwaka 2021 hatimaye yule jamaa yetu akatwaa ndoo hiyo.
FIFA nao kwa kushirikiana na UEFA na CONMEBOL wakaona waandae mashindano ya kumkutanisha bingwa wa ulaya na bingwa wa amerika ya kusini (Fianlissima) ili tu jamaa yetu walu atwae kombe la pili akiwa na timu ya taifa.
Michuano hiyo mara ya mwisho ilifanyika miaka 29 iliyopita.
Ikafanyika pale Wembley, Italy bingwa wa Ulaya akakutana na Argentina bingwa wa amerika ya kusini na Argentina akatwaa ndoo.
Jamaa yetu akawa na medali ya pili akiwa na timu ya taifa.
Hoja hapa inaonekana kuna mbinu zilipangwa ili jamaa yetu atwae ndoo na asistafu mikono mitupu kabla ya kubahatika kutwaa kombe la dunia mwaka huu.