Kwanini Couple ya akina The Bold na Nifah inakubalika na kuwa na mvuto kuliko zilizokuwepo humu JF?

Wanajua kujinadi humu ndani. ..kwahiyo wanasikika.....wanapata kiki.....
 
Tatizo ni mihemko ya ovyo tu[emoji6] [emoji6] [emoji125]
 
Umeusononesha moyo wangu ulioamua kukupenda kwa mapenzi yote
Ukisema hivyo nasononeka zaidi yako ati. Labda tu nikuambie siri ambayo sijawahi kukuambia. Ukiniacha nitakonda mwenzako
 
Ukisema hivyo nasononeka zaidi yako ati. Labda tu nikuambie siri ambayo sijawahi kukuambia. Ukiniacha nitakonda mwenzako
Hapa nilipo nalia sikutegemea ungenitenda hivi Daby
 
Daby naomba funguo basi charlie kama hujui kuendesha[emoji4][emoji4]?
 
Huyu haumwezi aseeh. Atakuacha raha yake kutingisha kiberiti kila akijiskia. Utaweza!
Mkuu atatulia tu sisi watoto wa West London hatunashida...labda kama kuna kamtego kama kawakenya[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…