Kwanini Couple ya akina The Bold na Nifah inakubalika na kuwa na mvuto kuliko zilizokuwepo humu JF?

Kwanini Couple ya akina The Bold na Nifah inakubalika na kuwa na mvuto kuliko zilizokuwepo humu JF?

Wanajua kujinadi humu ndani. ..kwahiyo wanasikika.....wanapata kiki.....
 
Bby naanza kumuelewa Shunie sasa.
Hii kesi tutamalizia nyumbani mama. Wacha nikupitie hapo tukavimalizie nyumbani. Mimi na wewe tumetoka mbali eti
cd37e8fd2d11cfe1d4b855372307cd99.jpg
 
Tatizo ni mihemko ya ovyo tu[emoji6] [emoji6] [emoji125]
 
Ukisema hivyo nasononeka zaidi yako ati. Labda tu nikuambie siri ambayo sijawahi kukuambia. Ukiniacha nitakonda mwenzako
Hapa nilipo nalia sikutegemea ungenitenda hivi Daby
 
Daby naomba funguo basi charlie kama hujui kuendesha[emoji4][emoji4]?
 
Huyu haumwezi aseeh. Atakuacha raha yake kutingisha kiberiti kila akijiskia. Utaweza!
Mkuu atatulia tu sisi watoto wa West London hatunashida...labda kama kuna kamtego kama kawakenya[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom