Mwezi uliopita tu,ila mwenzangu kashaanza kufungua makucha yakeKwani ulivaa lini mami?
We bana umenishinda tabia,niache nikapate tulizo kwingine
Ulipo nipo. Yaani unanidampo kweli kiurahisi. Sikubali!
Daa napenda kuwasululisha ila ntakuwa ndumila kuwili[emoji4][emoji4][emoji4]Mwezi uliopita tu,ila mwenzangu kashaanza kufungua makucha yake
Wewe haujawahi kunishindwa. Na mahaba yetu yatatenganishwa na death tu. Kama una ndoto zingine endelea kuotaWe bana umenishinda tabia,niache nikapate tulizo kwingine
Mmh. Comrade unataka kujibackup eehDaa napenda kuwasululisha ila ntakuwa ndumila kuwili[emoji4][emoji4][emoji4]
Hata hakuna cha kusuluhisha hapaDaa napenda kuwasululisha ila ntakuwa ndumila kuwili[emoji4][emoji4][emoji4]
Habari njema hizi[emoji4][emoji4][emoji4]...ila bebe tulia tu kwa charlie hanaga shida namjuaWe bana umenishinda tabia,niache nikapate tulizo kwingine
Ah mi nshachoka bana,nipe tu talaka yangu nikafutwe machozi kwingineWewe haujawahi kunishindwa. Na mahaba yetu yatatenganishwa na death tu. Kama una ndoto zingine endelea kuota
Hamna mbona HARD DISK yenyewe haina spaceMmh. Comrade unataka kujibackup eeh
Kama ni machozi nakufuta. Kipi nisichotimiza kwako mimi mtoto wa mwanamke mwenzio.Ah mi nshachoka bana,nipe tu talaka yangu nikafutwe machozi kwingine
Hahaha... ama kweli kifo hufika pabayaHamna mbona HARD DISK yenyewe haina space
Ooh really[emoji4]Habari njema hizi[emoji4][emoji4][emoji4]...ila bebe tulia tu kwa charlie hanaga shida namjua
Sasa mbona unachepuka lakini?Kama ni machozi nakufuta. Kipi nisichotimiza kwako mimi mtoto wa mwanamke mwenzio.
Unataka nikupe kipi? Au unataka kiti cha kuzunguka mama, nikupe unikae moyoni uznguke ujimwae mwae?
Hakuna kisichozungumzika nishike mkono twende zetu kabla wanga kina Asprin hawajafika hapaSasa mbona unachepuka lakini?
Tena mbele yangu kabisa[emoji17]
Waite kwanza ile michepuko yako yote uikane hapaHakuna kisichozungumzika nishike mkono twende zetu kabla wanga kina Asprin hawajafika hapa
Yap ukimtosa utasababisha left ventricle yake ipasuke si unajua tena charlie ni mbovu hata kwa right auricle[emoji4][emoji4]Ooh really[emoji4]
Haha mapendo yamekatikia njiani eeh
Hamna sema Daby nilisha mkataza kupita na Winsky mbele ya bebeee hasikii[emoji4][emoji4][emoji4]Haha mapendo yamekatikia njiani eeh
Mmh. Huu sio mwandiko wa mpwa wangu.Haha mapendo yamekatikia njiani eeh