Kwanini Couple ya akina The Bold na Nifah inakubalika na kuwa na mvuto kuliko zilizokuwepo humu JF?

95dd01f558b41fce2af86a8638d04b61.jpg

Ulipo nipo. Yaani unanidampo kweli kiurahisi. Sikubali!
We bana umenishinda tabia,niache nikapate tulizo kwingine
 
Ah mi nshachoka bana,nipe tu talaka yangu nikafutwe machozi kwingine
Kama ni machozi nakufuta. Kipi nisichotimiza kwako mimi mtoto wa mwanamke mwenzio.

Unataka nikupe kipi? Au unataka kiti cha kuzunguka mama, nikupe unikae moyoni uznguke ujimwae mwae?
 
Sasa mbona unachepuka lakini?

Tena mbele yangu kabisa[emoji17]
 
Back
Top Bottom