Kwanini Couple ya akina The Bold na Nifah inakubalika na kuwa na mvuto kuliko zilizokuwepo humu JF?

Umeusononesha moyo wangu ulioamua kukupenda kwa mapenzi yote

Oya huu uzi nimeuanzisha ili mtongozane mkabanduane au nimeuanzisha kwa ajili tu ya akina The bold na mwenzake Nifah? Mnauharibu uzi wangu na nahisi pia mnafanya makusudi ili hawa Wapendwa wetu wawili humu JF wasijadiliwe kwani mnaonekana mna Kijicho / Wivu mno kwa Wao nyota zao kuzidi Kung'ara.

Kama minyege yenu imewapanda Wewe na huyo mwenzio tongozane PM ikibidi mnaweza pia mkamalizana huko huko. Tafadhali mfikishie huu ujumbe na huyo mwenzio.

Waswahili bhana!
 
Wewe nifanye utakalo hata kunikata nyeti kikubwa usinikimbie tu. Mbona haunipi makopa? [emoji57]
Sasa umesamehewa ila ukirudia tu nakata hiyo chululuu yako nachemshia supu
 
Wewe haujawahi kunishindwa. Na mahaba yetu yatatenganishwa na death tu. Kama una ndoto zingine endelea kuota

Wewe na mwenzio mmenikera kunakotukuka na naanza kukosa uvumilivu. Nitawachenjieni muda si mrefu mninunie sawa?
 
Oya huu uzi nimeuanzisha ili mtongozane mkabanduane au nimeuanzisha kwa ajili tu ya akina The bold na mwenzake Nifah? Mnauharibu uzi wangu na nahisi pia mnafanya makusudi ili hawa Wapendwa wetu wawili humu JF wasijadiliwe kwani mnaonekana mna Kijicho / Wivu mno kwa Wao nyota zao kuzidi Kung'ara.

Kama minyege yenu imewapanda Wewe na huyo mwenzio tongozane PM ikibidi mnaweza pia mkamalizana huko huko. Tafadhali mfikishie huu ujumbe na huyo mwenzio.

Waswahili bhana!
Ooh sorry mwaya lengo si kuharibu Uzi wako...

Ngoja tulog out..
 
Wewe na mwenzio mmenikera kunakotukuka na naanza kukosa uvumilivu. Nitawachenjieni muda si mrefu mninunie sawa?
Kama unakereka tunatoka mkuu. Nilijua utapenda kuongezeka kwa couple nyingine kama hiyo hapa hapa.

Nwei : vi twende zetu .

Cc Valentina
 
Huu uzi wote wa The bold na Nifah umeshaharibiwa na Upopoma wa Mipopoma miwili iliyotukuka. Kwakuwa inaonekana wanawaonea wenzao gere hivyo Mimi sasa naenda kuwaanzishia uzi wao maalum ndani ya dakika 5 zijazo utakuwa tayari ili na Wao Members waweze kuwazungumzia na kuwapaisha.
 
Aika ngareboo
 
Back
Top Bottom