Kwanini darasani hatujafundishwa kuhusu wanawake hawa walioshiriki kupigania Uhuru wa Tanganyika?

Kwanza na uislamu wao nani awataje, na tunataka kubadilisha uhalisia kuwa uhuru ulipiganiwa zaidi na waislamu nchi hii.
 
Kuna kitu kimoja wanahistoria wanasema nadhani ndio jibu la swali lako.

Wanasema history is for great men(hapa wanaongelea kwamba historia huwatambua baadhi tu ya watu kulingana na ukubwa wa mambo yao ndio uandikwa kwenye historia au kwa kifupi historia ni ya washindi(hakuna room ya kutambua kila aliyeshiriki kwenye mchakato)).

Waswahili wanakwambia hivi,kwenye msafara wa mamba na kenge wamo.

Akina bibi Titi na wenzake wako maktaba unaweza kuwafanya rejea kwa wakati wako.Nyerere historia imemtambua na kumpa uzito kwa maana yeye ndiye alisimama kama mshindi baada ya mchakato mzima(ndio maana point ya history is for great men ina make sense hapa au ata baba yako sio kwamba ndiye alikuwa mtia nia peke yake kwa mama lakini sahivi nani anaongelewa wakiwa wanataja wamiliki,si baba yako tu(just a joke)).
 
Mbn sioni wagalatia ktk hiyo list
 
Je WALIKUWA na mizigo?
 
Mindyou wewe mwenyewe ushawasahau kuwataja kina mama waili hapo. Tueleze ni kina nani kwanza hao uliowaacha
 
Sasa ni wakati muafaka wazee wa Daresalame mjiunge kwenye vuguvugu la Reforms, hayo yote yatafikiriwa 😂
 
Hawa watu huko darasani huwezi kukuta maybe kwa mbaliii Bibi Titi. Lakini nilipata kusoma kitabu kimoja hivi kimeandikwa na Susan Geiger.
👇
 

Attachments

  • PXL_20250720_183322268.MP.jpg
    384 KB · Views: 20
  • PXL_20250720_184125117.MP.jpg
    692.9 KB · Views: 22
But also kuna siku umu ndani imewahi tumwa taarifa ya watu ambao wamewahi kumbwa na kesi ya uhaini na bibi titi mohammed alikuepo so nadhani labda nayo ni sababu kwanini mchango wake haukumbukwi sana
 



View: https://youtu.be/AMv5l5gvKAY
 

View: https://youtu.be/gL16UggL21w?si=u1Hrdf6Cps4AvvKh
 
Inakusaidia nini kwenye maisha kwa mfano kuwajua wapigania uhuru hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…