Asante sana mkuu kwa kuwaumbua wajuaji. Na Asante sana kuwataja akina mama hao japo kwa uchache ...unaonaje ukaja na makala.maalum.kwa ajili yao naamini andiko LAKO hapa kwenye hii forum.litaishi na kusomwa na vizazi vingi.vijavyo.kama forum hii itaendelea kuwepoZemanda,
Hakuna kitabu cha historia kilichoandika historia ya wanawake waliopigania uhuru wa Tanganyika mfano wa Bi Aza wa Kilwa, Shariffa bint Mzee wa Lindi, Zarula bint Abdulrahman, Nyange bint Chande, Hidaya bint Mabruki wa Tabora, Halima Selengia, Amina Kinabo, Mama bint Maalim wa Moshi kwa kuwataja wachache.
Kipo kitabu cha Suzanne Geiger "TANU Women," Mmarekani huyo angalau kajitahidi kuandika historia hii.
Ni jambo jema ila vijana wanaokua watakua wanakatiza tu.mitaa hio bila kujua huyo alieandikwa hapo ana mchango.gani kwa yeye kua hapo anatembea free akidundaPale Masaki Kuna barabara Ina jina la Ally Bint Said
The Redeemer,Inakusaidia nini kwenye maisha kwa mfano kuwajua wapigania uhuru hewa
Fela..Asante sana mkuu kwa kuwaumbua wajuaji. Na Asante sana kuwataja akina mama hao japo kwa uchache ...unaonaje ukaja na makala.maalum.kwa ajili yao naamini andiko LAKO hapa kwenye hii forum.litaishi na kusomwa na vizazi vingi.vijavyo.kama forum hii itaendelea kuwepo
Tatizo ni mfumo dume mkuuWakuu,
Nimekutana na picha hii na nimepata maswali sana.
Hawa ni wajumbe wa tawi la wanawake la TANU wakiagana na Mwalimu Nyerere usiku wa kuamkia safari yake ya Umoja wa Mataifa mwaka 1955
Kutoka kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa, maarufu Mama Sakina, Bi. Titi Mohamed, kushoto wa kwanza ni Bi. Tatu bint Mzee na Julius Nyerere yuko katikati.
Hawa akina mama wana historia kubwa katika kuwakusanya wanawake wa Dar es Salaam kuja katika mikutano ya kwanza ya TANU Mnazi Mmoja kuichangamsha kwa vigelegele, nyimbo na mashairi.
Cha ajabu katika wanawake anayejulikana zaidi ni Bibi Titi Mohamed, wengine wote ni wanaume the likes of Oscar Kambona na wengineo.
Naomba kuuliza kwanini darasani hatujafundishwa kuhusu wanawake waliopambani uhuru. Kwanini tumefundishwa tu kuhusu wanaume?
Namna ya kutafuta hela mlifundishwa?Wakuu,