Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

Chadema wanajua hii dhana ya demokrasia uliyoitaja hapa mkuu
 
Ingekuwa ishagawanyika vipande vipande vya nchi nyingi..
Kwa hiyo unakubaliana kwamba Demokrasia ni moja ya kuleta matabaka na migawanyiko kwenye jamii siyo?

Au kwamba Demokrasia ni sawa na mtu akichezea mkia wa simba huku akijua simba anatafuna watu, au inabidi simba awe kibogoyo tu ili achezewe kwa namna zote, kipi kizuri hapo?
 
Mijitu inayofaidi kweli ya taifa kupitia u dikteta hizi ndiyo hoja zao sasa.

Hivi mnadhani tunafurahia mno mnavyo jineemesha wenyewe?

Hiiiiii bagosha!
Kwani Demokrasia ni nini mkuu, kuandamana na kutukana viongozi siyo?

Maana ulichotaja hapo hayapo ndani ya deomkrasia, ni wizi kama wizi mwingine, maana hayo yanapaswa yawe under dicteta ili awalipue hao majambazi bila kusubiri hata mahakama
 
Unamsoma je huyo?

Hayo unayoyaita kuandamana na kutukanwa ndiyo kukataliwa na kukemewa kwenu.

Huoni unachokitetea wewe ni wizi uliokomaa kuliko ujambazi sugu wa kutumia silaha?

Kesi ya Sabaya inawataja hadi Rais na Makamu wa rais kwenye ujambazi huo.
 
Ukisema China haina Demokrasia, jibu kwanza hili swali. Demokrasia ni nini?
Akijibu nitag mkuu...Watu wanadhani Demokrasia ni ile ya Marekani au Uingereza tu...China wanatumia Socialist Democracy
 
Kuna tofauti gani kati ya Democrasia ya Tanzania na nchi zingine duniani?

Ni kweli Demokrasia bora ni ile inayoruhusu mandamano na mikutano ya hadhara katikati ya uongozi?

Au demokrasia nzuri na inayovutia ni ile inayowafanya watu wamseme vibaya kiongozi wa nchi?

Je siku moja ikigeukia upande wa pili, bado itakuwa demokrasia?
 
Yote uliyoropoka si kweli na ni ujinga wako! Demokrasia ni ushirikishwaji wa wananchi katika maendeleo ya nchi yao! Kiongozi ukishindwa kuwashirikisha wananchi wenzako katika ujenzi wa nchi yao lazima upingwe vikali iwe kwa maneno au maandamano na hata kuuawa!
 
H
Ukisema China haina Demokrasia, jibu kwanza hili swali. Demokrasia ni nini?
Serikali ya watu, itokanayo na watu(iliyochaguliwa na watu wengi) kwa ajili ya watu( inayotokeleza matakaa ya watu wengi)

Serikali ya China sio ya kidemokrasia kwa sababu haitokani na uchaguzi au ridhaa ya watu wengi wa nchi hiyo.
 
Mabwana walee demekrasi ni kuandamana Kila siku na kupora vyitu.
Watu wa hivyi kamwe wasipewa Uhuru wanaoutaka.
 
Kwa mifano hii sio kwamba una maanisha msingi wa maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii sio aina ya utawala nchi ilioamua kuutumia!
 
Kwa mifano hii sio kwamba una maanisha msingi wa maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii sio aina ya utawala nchi ilioamua kuutumia!
Demokrasia ni matakataka gani sasa?, maana naona kila mmoja anapuyanga kivyake tu kuielezea demokrasia, na je? inasaidia nini ikiwa demokrasia inajumuisha utukanaji kwa viongozi na migomo ya kijinga?
 
Demokrasia kwa nchi yetu hizi za kila mmoja akiaminiwa anataka awe mwizi ni kupoteza muda na hatutafika!
 
Demokrasia ni sawa na kuwa kuku wa broila
 
Demokrasia ni matakataka gani sasa?, maana naona kila mmoja anapuyanga kivyake tu kuielezea demokrasia, na je? inasaidia nini ikiwa demokrasia inajumuisha utukanaji kwa viongozi na migomo ya kijinga?
Demokrasia ni kuruhusu watoto kwenye familia kila mmoja kuchagua mboga ya kula usiku na wakati huo huo mpishi na mnunuzi ni mmoja.. Nani ataweza?
 
Lini China ilikuwa na demokrasia au ni China ya Amerika ya kusini.
 
Demokrasia ni ujanja ujanja wa USA Kuzifanya nchi zingine zisiweze kupiga hatua ya maendeleo

Kwa wizi uliofanywa hapa Tanzania, ilipaswa hao watu wanyongwe!
 
Sisi Tanzania, kila tukitaka tufuate demokrasia, ndiyo kwanza tunarudi nyuma hatua 1000000000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…