Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Naunga mkono hoja ya mtoa mada. Diamond amerukaruka tu allikiba ameimba vzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongoDomo ujanja wake kideon tu zile wana mix mix madoido mengi. Laivu mtupu kabisa
Naona dawa imekuingiàUnacheka na kujitekenya mwenyewe.
Umesababisha nimeenda kuangalia hizo show youtube,Mtoa mada acha chuki, mbona Diamond kaperfom vzr tuu na shangwe kibao.
Naona mmeferuhai jamaa yenu kulinganishwa na mzungu.Naona dawa imekuingià
🤣🤣Kwanini kila ukimuona mond na kiba anaona mondii kapanic sana.?
Basi ndio hivyo Mondi alivyo ondoka na kijiji chake cha makada wa CCM,huku mwengine akipiga kelele "mikono juu......mikono juu........tunaimba wote........."
View attachment 1504451
Mnapenda kumlinganisha jamaa yenu na Mondi mkizani ndio mtamweka juu.
Ila kwangu mimi Dogo Janja ndiye aliyeua............[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi kuna watu watakasirika na kubisha kwa nini nime mlinganisha Mondi na Dogo Janja huku nikimsahau mtu wao.
Kama yule wa mikono juu😂😂😂Hamuna kitu hapo
Kojoa ukalaleNaona dawa imekuingià
Diamond the {G. O. A. T}Bila kupepesa macho nani kafanya show nzuri kati yao?
Namba hazidanganyiDomo ujanja wake kideon tu zile wana mix mix madoido mengi. Laivu mtupu kabisa
HAMUNA......😮😮🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hamuna kitu hapo