Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Tumuulize billnass
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa sielewi huyo zari wanamshobokea ana nini cha maanaAlifanyiwa nini ambacho yeye hajawahi kuwafanyia wengine. Inshort ile situation ilisaidia kubalance ego yake
By the way watanzania walio obsessed na Zari huwa nawashangaa sana. That woman anawadharau watanzania sana sanaaa, ingekuwa ni hata Kenya, angekuwa cancelled muda sanaaa
Kuna kipindi alifikia hatua ya kuona huyo tiffah ataharibu kiingereza chake maana watanzania hawajui kiingereza kama "president" Wao, imagine mkuuMimi huwa sielewi huyo zari wanamshobokea ana nini cha maana
Anawatukana bado mnamfollw
Huyo ni wa hovyo tu Mdangaji aliyeji update anajifanya hajui kiswahili .Kuna kipindi alifikia hatua ya kuona huyo tiffah ataharibu kiingereza chake maana watanzania hawajui kiingereza kama "president" Wao, imagine mkuu
Uzuri huyo mwanamke anajua bila Tz au Diamond asingepata hiyo influence maana kabla ya hapo, alikuwa socialite tu mwenye pesa zilizochangiwa na Ile gang ya Ivan. Hakuwa na hiyo popularity hata Uganda na kwanza huko hawapo obsessed nae kama huku ndio maana atafanya drama zote za Tz maana asipopewa attention huku, anajua fika hatopata pengine kwa same level
Ana hela, kitu ambacho kwa celebrities wetu haswa socilites kama wema,aunt , Uwoya au Wolper hawana ndio maana anaonekana kama mfano wa kuigwa. Hivyo tuHuyo ni wa hovyo tu Mdangaji aliyeji update anajifanya hajui kiswahili .
Ataishia kutoka na Vibenten kama kile cha sasa hivi nani sijui.
Wabongo ndio tulivyo hatupendi vyetu tunapenda vya watu.
Zari ana nini cha maana sasa?
Hivi hamisa ana mafanikio gani kiasi mondi awe na wivu nae?Kwa mujibu yule walijuana na billnasi kipindi Cha kesi,ya madai ya mtoto, mwingine picha ya mchupi wa nandi, ndo wakaanza,diamond walipima Dna na yule mtoto Sasa mond anataka waende kupima south, Hamisa alikataa na alisema ye anashukuru anapata riziki na anamtunza mtoto bila baba, kamkataa, Ila Sasa kakubali baada ya mange kumshauri, alafu mange kasema yule kinamuhuma baada ya kuona hamisa kamove alafu yupo na mafanikio kwa Sasa ndo Mana kujifanya kuwasherehesha wale watoto wa mbali, ma birthday Mara kwenda Rwanda, kuwapost post.
Kashakubali ya sauth na kasema itakuwa live tusubili tuone, baada ya dada wa taifa kumshauri.Tatizo lipo wapi? Hamisa yupi huyo kila siku ana danga jipya yaani unaweza kuamini mwanamke anayedanga !?
Hamisa za chini kakataa kwenda kupima DNA south Africa ila pesa ya matunzo alienda mahakamani kama sio njaa ni nn?
Umri sio rafiki anachuja hana jipya ila mwenzio ndio kwanza kumekucha anatembea na vitoto wakina Zuchu..
.DNA za bongo ni utapeli na Diamond hawezi kukataa mtoto hata siku moja .
Bora iwe hivyo ila kuchukua mtoto wa mwanamke kicheche ni ngumu sana.Kashakubali ya sauth na kasema itakuwa live tusubili tuone, baada ya dada wa taifa kumshauri.
Kwanza alivyokuwa anamzarau wema na sisi wote mpaka tumeambiwa watoto wetu wanautapia mlo, sisi masikini, ndomana mange hanamnangaga.Mimi huwa sielewi huyo zari wanamshobokea ana nini cha maana
Anawatukana bado mnamfollw
Hivyo ndio inavyotakiwa huwezi kumponda your fellow Tanzanian kisa huyo mganda tunakwama wapi?Kwanza alivyokuwa anamzarau wema na sisi wote mpaka tumeambiwa watoto wetu wanautapia mlo, sisi masikini, ndomana mange hanamnangaga.
Sio alivyokuwa mwanzo, we haupo insta mbona Mambo yake yapo live tu, mitandaoni huoni show zake, anavyohojiwaga na wanahabari mbona vitu vinajionyesha tu, na Wala hamsumbui Tena Ela ya mtoto ya penseli sijui ada wala Mara ustawi wa jamii, na kasema vingine Kama baraka sio Kama alivyokuwa mwanzo mungu anamakusudi ndomana milango imefunguka ya riziki.Hivi hamisa ana mafanikio gani kiasi mondi awe na wivu nae?
Jamaa anapigwa kila kona,kwa zari nako majanga yani siku hana hela za matumizi ya watoto ndo siku atapigwa na vitu vizito mujarabu.
Hata Mimi kabisa Ila basi tu, kutokana na kauli zake kwetu ndomana dada wa taifa wanapambana.Hivyo ndio inavyotakiwa huwezi kumponda your fellow Tanzanian kisa huyo mganda tunakwama wapi?
Anawatukana kwa kingereza na watanzania wanacheka cheka tu.
Simpendi huyo mama
Hili ndilo la kweli na ndio maana mondi kasema baba wa mtoto anaejua ni mama. Ilifika kipindi mshkaji hawezi ona damu yake mara sjui mtoto yupo kenya jamaa akaona ok ngoja nikunje mikono tuone sasa vilio vinaanza hasa mobenga akiona watoto wa zari wanavyokula maisha.(inasemekana) hamisa alikuwa anamtumia mtoto kumvuna nassib kama kumkomoa na bado akawa anamuwekea ugumu kumuona mwanae, mtoto wa tandale akasusa., (Inasemekana lakini)
Ela za reast in peace mmewe lvan alizopata kwa kazi ya kujifanya, waganga wa kienyeji sauth walivyofika tu kutafuta Maisha, na alivyofariki Mali wamekabiziwa watoto Ila Sasa watoto hawawezi kazi bila mama yao kusimamia mali ndo uzuri wake.Ana hela, kitu ambacho kwa celebrities wetu haswa socilites kama wema,aunt , Uwoya au Wolper hawana ndio maana anaonekana kama mfano wa kuigwa. Hivyo tu
Beto nae alizidi uswahili yani kisa kuzaa na mtu ndo kutaka kuneemeka hapo hapo fastaa hivo, shame.Hili ndilo la kweli na ndio maana mondi kasema baba wa mtoto anaejua ni mama. Ilifika kipindi mshkaji hawezi ona damu yake mara sjui mtoto yupo kenya jamaa akaona ok ngoja nikunje mikono tuone sasa vilio vinaanza hasa mobenga akiona watoto wa zari wanavyokula maisha.
Taja mafanikio ya hamisa mpaka aonewe wivu acha kuzunguka zungukaSio alivyokuwa mwanzo, we haupo insta mbona Mambo yake yapo live tu, mitandaoni huoni show zake, anavyohojiwaga na wanahabari mbona vitu vinajionyesha tu, na Wala hamsumbui Tena Ela ya mtoto ya penseli sijui ada wala Mara ustawi wa jamii, na kasema vingine Kama baraka sio Kama alivyokuwa mwanzo mungu anamakusudi ndomana milango imefunguka ya riziki.
Kwa jinsi huyu dada anavyopenda kamera na mitandao ya jamii, sasa hivi angekuwa anawaita ustawi wa jamii, ukiona yupo kimya kuna uwezekano yale yanayo ongelewa ni kweli na vijana wa siku hizi hawanaga moyo wa kulea mabao ya watu.Nauliza tu sio kwa ubaya kwanini Diamond plantum amemtwnga mtoto wake aliyezaa nae hamisa Mobeto?
Billnass kishasema hausikiTumuulize billnass