Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Mimi huwa sielewi huyo zari wanamshobokea ana nini cha maana

Anawatukana bado mnamfollw
 
Mimi huwa sielewi huyo zari wanamshobokea ana nini cha maana

Anawatukana bado mnamfollw
Kuna kipindi alifikia hatua ya kuona huyo tiffah ataharibu kiingereza chake maana watanzania hawajui kiingereza kama "president" Wao, imagine mkuu

Uzuri huyo mwanamke anajua bila Tz au Diamond asingepata hiyo influence maana kabla ya hapo, alikuwa socialite tu mwenye pesa zilizochangiwa na Ile gang ya Ivan. Hakuwa na hiyo popularity hata Uganda na kwanza huko hawapo obsessed nae kama huku ndio maana atafanya drama zote za Tz maana asipopewa attention huku, anajua fika hatopata pengine kwa same level
 
Huyo ni wa hovyo tu Mdangaji aliyeji update anajifanya hajui kiswahili .

Ataishia kutoka na Vibenten kama kile cha sasa hivi nani sijui.

Wabongo ndio tulivyo hatupendi vyetu tunapenda vya watu.

Zari ana nini cha maana sasa?
 
Ana hela, kitu ambacho kwa celebrities wetu haswa socilites kama wema,aunt , Uwoya au Wolper hawana ndio maana anaonekana kama mfano wa kuigwa. Hivyo tu
 
Hivi hamisa ana mafanikio gani kiasi mondi awe na wivu nae?
 
Kashakubali ya sauth na kasema itakuwa live tusubili tuone, baada ya dada wa taifa kumshauri.
 
Kashakubali ya sauth na kasema itakuwa live tusubili tuone, baada ya dada wa taifa kumshauri.
Bora iwe hivyo ila kuchukua mtoto wa mwanamke kicheche ni ngumu sana.

Katika kumkataa mtoto kuna mengi mtu anawez kuhofia kufungwa labda kampa mimba mwanafunz, utata wa mimba na wengine ni ugumu wa maisha ila sio rahisi kukataa mtoto damu yako kabisa.
 
Kwanza alivyokuwa anamzarau wema na sisi wote mpaka tumeambiwa watoto wetu wanautapia mlo, sisi masikini, ndomana mange hanamnangaga.
Hivyo ndio inavyotakiwa huwezi kumponda your fellow Tanzanian kisa huyo mganda tunakwama wapi?

Anawatukana kwa kingereza na watanzania wanacheka cheka tu.

Simpendi huyo mama
 
Hivi hamisa ana mafanikio gani kiasi mondi awe na wivu nae?
Sio alivyokuwa mwanzo, we haupo insta mbona Mambo yake yapo live tu, mitandaoni huoni show zake, anavyohojiwaga na wanahabari mbona vitu vinajionyesha tu, na Wala hamsumbui Tena Ela ya mtoto ya penseli sijui ada wala Mara ustawi wa jamii, na kasema vingine Kama baraka sio Kama alivyokuwa mwanzo mungu anamakusudi ndomana milango imefunguka ya riziki.
 
Hivyo ndio inavyotakiwa huwezi kumponda your fellow Tanzanian kisa huyo mganda tunakwama wapi?

Anawatukana kwa kingereza na watanzania wanacheka cheka tu.

Simpendi huyo mama
Hata Mimi kabisa Ila basi tu, kutokana na kauli zake kwetu ndomana dada wa taifa wanapambana.
 
(inasemekana) hamisa alikuwa anamtumia mtoto kumvuna nassib kama kumkomoa na bado akawa anamuwekea ugumu kumuona mwanae, mtoto wa tandale akasusa., (Inasemekana lakini)
Hili ndilo la kweli na ndio maana mondi kasema baba wa mtoto anaejua ni mama. Ilifika kipindi mshkaji hawezi ona damu yake mara sjui mtoto yupo kenya jamaa akaona ok ngoja nikunje mikono tuone sasa vilio vinaanza hasa mobenga akiona watoto wa zari wanavyokula maisha.
 
Ana hela, kitu ambacho kwa celebrities wetu haswa socilites kama wema,aunt , Uwoya au Wolper hawana ndio maana anaonekana kama mfano wa kuigwa. Hivyo tu
Ela za reast in peace mmewe lvan alizopata kwa kazi ya kujifanya, waganga wa kienyeji sauth walivyofika tu kutafuta Maisha, na alivyofariki Mali wamekabiziwa watoto Ila Sasa watoto hawawezi kazi bila mama yao kusimamia mali ndo uzuri wake.
 
Beto nae alizidi uswahili yani kisa kuzaa na mtu ndo kutaka kuneemeka hapo hapo fastaa hivo, shame.
 
Taja mafanikio ya hamisa mpaka aonewe wivu acha kuzunguka zunguka
 
Nauliza tu sio kwa ubaya kwanini Diamond plantum amemtwnga mtoto wake aliyezaa nae hamisa Mobeto?
Kwa jinsi huyu dada anavyopenda kamera na mitandao ya jamii, sasa hivi angekuwa anawaita ustawi wa jamii, ukiona yupo kimya kuna uwezekano yale yanayo ongelewa ni kweli na vijana wa siku hizi hawanaga moyo wa kulea mabao ya watu.

Manake ile mimba tu dinia nzima ilijua, kuna kitu yy mwenyewe anakijua kuhusiana na huyo mtoto. Inawezekana kayachanganya madanga,mpaka na yy kachanganyikiwa hajui mtoto ni wanani.Inawezeka wiki ya kutunga mimba aliitembeza K yake kwa madanga yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…