Amejitahidi kwa mda gani? Hivi trend ya wadada wadangaji wa intagram huzijui, kwani Wema ilikuwaje na yule jamaa waIkulu,mpaka kafunguliwa kampuni ya production then ikawaje......? Wolper na yule dogo muuza Poda........? Anti nae...........?
Issue mimi hapa ninayo zungumzia continuity nadiscipline ambayo wadangaji hawana,husizuzuke na hiki unacho kiona leo.Kwa kifupi wandangaji maisha yao 99% ni fake na wengi hawana akili ya maisha wala nidhamu ya maisha ,sababu hawana akili ya kutafuta kwa kitumia jasho na akili.
Ukimuona binti katoboa sababu ya kudanga jua danga lilimkuta ktk harakati za udangaji au alikuwa na idea ya biashara ila alikosa mtaji,mfano Ritha na mara nyingi huwaga sio wa kubadilisha madanga mara kwa mara. Kuna mama mmoja wa kinyakyusa ana bonge la shape,alilipata danga kwenye kamgahawa chake,leo hii yule mmama ana kampuni kubwa na mapishi ya chakula na maduka matatu ya jumla ya vinywaji
Hao niliwataja walianzisha biashara ngapi leo zipo wapi? na ndio maana maisha yao wanategemea kubadilisha madanga sababu hawana akili ya maisha,hivi huyo Hamisa duka lake la Mnyamala lipo wapi?
Point yangu wengi huwaga hawaifikiri kesho.